Vodacom KUTUWEKEA LAKI NANE KWENYE AKAUNTI ZETU NI UTAPELI

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
jamani wateja wenzangu wa Vodacom kwa Sasa kila mtu ana laki nane kwenye simu yake ambazo huwezi kuzitoa je huu si utapeli????
Ingiza namba *150*55#
Password weka namba yeyote
Halafu angalia salio
lakini hazihamishiki wala kuchukulika
Na wameweka hizi pesa bila Hata ya consent zetu
Hii si Sawa sijui Nini wadau mnalichukuliaje?
 
Wewe Dr,
Hizo codes hazihamishi hela kwenye Mpesa yangu aisee? ha ha haaa!

Anyway, hiyo ni test account.... ni constant tu imewekwa kama mfano!
 
mi naenda kuwadai watawekaje hela ambazo sijawahi kizishika then ziwe za magumashi account yangu sio ya test
 
jamani wateja wenzangu wa Vodacom kwa Sasa kila mtu ana laki nane kwenye simu yake ambazo huwezi kuzitoa je huu si utapeli????
Ingiza namba *150*55#
Password weka namba yeyote
Halafu angalia salio
lakini hazihamishiki wala kuchukulika
Na wameweka hizi pesa bila Hata ya consent zetu
Hii si Sawa sijui Nini wadau mnalichukuliaje?

Nilisikia Vodacom MPESA wanataka kuanzisha products za mikopo, labda ndio wapo kwenye testing. Na nyie wadau ni wadadisi mno! Mbona kupata MENU ya MPESA ni *150*00#. Sasa huku kwenye *150*55# mmefikaje? Pengine ukiongea na mtu aliyekupa hii code atakwambia mantiki yake
 
Nilisikia kuwa MPESA wanataka waanze kulaunch product ya mikopo, nadhani bado wapo kwenye testing. Na nyie ni wadadisi mno kwani kupata MENU ya MPESA ni *150*00#. Sasa huku kwenye *150*55# mmefikaje? Pengine ukiongea na mtu aliyekupa hii code atakwambia mantiki yake

ngoja namimi nikanunue line ya voda com fasta....wakikosea tuu natoa duuu wngine hatujawahi kushika ma - laki
 
Kama wanaweka mile stone mpya kukopa itakuwa poa kabisa manake kwenye SME mikopo inahitajika kuna jamaa wanacharge mpaka 30% kwa mwezi na unatakiwa kuweka gari/kadi na nyumba kama unayo. Sasa ikiwa MPESA watatoa kutakuwa hakuna longolongo.
 
test acount ndio nini hii '???
Hii line ni yangu na kama wanaifanyia test lazima waombe consent kwa mmiliki wa line labda kama sielewi
 
Jamani anayejua atufahamishe maana hata mm nimejaribu kwny line yangu ya tigo nikakuta credit balance ni 150000.
 
Mpo pori gani nyie? Kuna benki mpya inaitwa M-BANK nimesikia kuwa inamilikiwa na Mh nimrod mkono kwa pamoja na wahindi flani hivyo wanafanya test ya mobile banking hata ukifungua utaona taarifa ya test account. Nimeiona hapa arusha maeneo ya clock tower karibu na kanisa la lutheran hivyo si vodacom kama mtoa mada anavyodai
 
mweeee wasitufanyie hivi ba hivi leo ni ijumaaa uwiiiii mtekeyo bar wangenijui mi ni nani leo...
 
test acount ndio nini hii '???
Hii line ni yangu na kama wanaifanyia test lazima waombe consent kwa mmiliki wa line labda kama sielewi
Hapo hakuna cha test wala nini,
Hizi hela zimepigwa mahali na hapo zinahifadhiwa kwa muda kusubiri upepo utulie,
Then ndio zinahamishiwa kunakohusika,
Kalaghabaho!!!!
 
Mpo pori gani nyie? Kuna benki mpya inaitwa M-BANK nimesikia kuwa inamilikiwa na Mh nimrod mkono kwa pamoja na wahindi flani hivyo wanafanya test ya mobile banking hata ukifungua utaona taarifa ya test account. Nimeiona hapa arusha maeneo ya clock tower karibu na kanisa la lutheran hivyo si vodacom kama mtoa mada anavyodai

Sawa nimeiona wakiianzisha hiyo tutashukuru ni huduma nzuri itatusaidia mambo ya kuenda kupanga foleni kwenye ma ATM na mabenk yatakua hamna mambo yote yatakua electronical.
 
Mpo pori gani nyie? Kuna benki mpya inaitwa M-BANK nimesikia kuwa inamilikiwa na Mh nimrod mkono kwa pamoja na wahindi flani hivyo wanafanya test ya mobile banking hata ukifungua utaona taarifa ya test account. Nimeiona hapa arusha maeneo ya clock tower karibu na kanisa la lutheran hivyo si vodacom kama mtoa mada anavyodai

Tunakushukuru Kamanda wetu!
 
Nipo Nangurukuru mkuu,
afadhari ulivyotoa maelezo mazuri.
 
Back
Top Bottom