MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,169
Ni kweli kuwa Prof. Msolla na Vodacom walitofautiana mwaka jana lakini sio kuhusu interconnection tariffs. Issue ilikuwa ule muswada wa sheria ya mawasiliano ambayo iliifanya compulsory kwa makampuni ya simu kulist kwenye dar es salaam stock exchange. RA alipinga sana mpaka issue ikafika kwa Mkulu, akajaribu kuzuia mkulu kusign ule muswada kuwa kusheria. Hapo ndipo kutoelewana kati ya msolla na vodacom/RA kulikotokea. Maana Prof. alisimamia msimamo wake, na finally muswada ukawa sheria kamili. Mtakumbuka hii issue ilimuinvolve mtu mwingine wa karibu wa RA by the name PM ambaye alikuwa mwenyekiti wa council ya DSE ambaye akaandika barua kwa JK bila kuwasiliana na council yake akitoa msimamo wa DSE kuwa kulazimisha listing ya telecom companies kutakimbiza investors wa sector hiyo. I think ilibidi ajiuzulu uwenyekiti baadae. Nafikiri issue ni hiyo. Sasa kama ndio iliyomgharimu prof. msolla uwaziri, siwezi kujua.
Yeees! hii inashawishi.
Hii ni nchi ya nonissue takes you to the top. Ni kama nilivyoandika hapo juu. Kwani si tuna watu wamepewa vyeo kwa urafiki na RA? kwa nini wasiwepo wanaoangushwa kwa kukosana na RA?
Hao wengine tafuteni sababu lakini mwandishi katutonya huyu mmoja. Kumbukeni jinsi alivyoingia bungeni kwa kishindo cha lazima. Jimbo pekee lililolazimishwa kurudia uchaguzi na akatafutwa rafiki wa mtandao, Zakia, akasimamie uchaguzi huo bila kujali uongozi wa Wilaya. Leo mbona anaondolewa haraka hivyo na kuwaacha poor perfomers wengine wakipeta? Hebu mulinganisheni na Jumanne Maghembe aliyebakizwa.