Vodacom jamani mnakatisha tamaaaa....mwenye access huko atusaidie

Sasa mbona hanipi solution kila mtu anaiponda voda tu? Hivi kweli kampuni kubwa kiasi hiki wanakurupuka kutoa huduma namna hii? mala wablock facebook,mala.......yaani ni full vibweka sijui huyo technician wao anajifunza siwaelewi inshort

Solution umepewa mkuu: hama voda.
 
Mi mbona natumia voda na mwendo mdundo tu...tena tunatumia computer kama saba hivi kwenye modem moja iliyoungwa kwenye router na net ipo poa kwa wanaosurf na "tunaojua kudownload" GB za kutosha tu na tunatumia package hizo hizo za mwezi a mara nyingine huwa hawakati mpaka miezi miwili inapita tu...ni kweli kuna siku mara moja moja sana huwa inakuwa slow kidogo ila si kiasi cha kuboa lakini mara nyingi ipo poa kabias na woooote tunaotumia tunainjoy!!! ASTALAVISTA VODAAA!!!:poa
 
Back
Top Bottom