Wadau tuache kuililia sana Voda...as if bei ya Roaming hatuijui..siku zote roaming charges bei zipo Juu.
Kuna wakati baadhi yetu hatujui taratibu za bei zilivyo...Huyu mdau anataka afananishe bei ya Hoteli DSM na Bei ya Hoteli US...!!!
Yaani wewe mfanyabiashara..una lia na elf2,500?..Umeenda fanya nini US basi?
So far sio Adhabu kupiga simu from one mtandao to another with additional price...km price ingekuwa FLAT, hakuna mteja wa Voda angehamia mtandao mwingine.au vice versa.