Vodacom internet modem - msaada

Njaa

JF-Expert Member
Dec 6, 2009
1,013
391
Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest?

siku za nyuma kuna jamaa mmoja alipost mbinu fulani za kutoa lock ili moderm ya vodacom iweze kutumika pia kwa ajili ya zantel na zain kwa internet, kwa bahati mbaya sana nimesahau jinsi ya kutoa zile lock na nimejaribu kusearch ile post nimeshindwa. Kwa hiyo yeyeto mwenye link ya ile post anitumie (PM) au yeyete mwenye hizo techniques za kutoa lock anieleweshe. Nahitaji kutumia lain zaidi ya moja kwenye modem moja ya vodacom.

Nawakilisha
 
Always try to be clear zaidi ukiwa unaeleza tatizo. Utawapa mwanga watu wengi zaidi na hivyo utakuwa na uwanja mpana zaidi wa kupata ufumbuzi.

Mfano ungesema Modem ya HUWAWEI au NETGEAR au CISCO iliyokuwa locked vodacom . Watu wa mitandao mingine au nchi nyingine wanaweza kukuelzea jinsi ya ku unlock kifaa model ile ile japo wao wako mtandao au nchi tofauti.

Vile vile unaweza kutembelea thread hii https://www.jamiiforums.com/technol...71022-msaada-wa-ku-unlock-ttcl-usb-modem.html

kama inahusu model yako jaribu procedures na step za comment number 14.

good luck
 
Asante mtazamaji! ngoja nitembelee link hiyo, modem yangu ni vodafone 3G, haijaandikwa HUAWEI, ila wakati ikiwa ina-install kwenye computer inaandika HUAWEI, this is only I can explain, zilikuwa zinauzwa kwenye promoshen mwezi uliopita na ina sehemu ya kuweka memory card hivyo kufanya modem kuwa USB storage device as well
 
go for zantelll... its rocks.. well at least 4 me... kwanza naona price zao ni resonable... na wako fast inafu
 
Wakuu! nina moderm ya vodacom kwa ajili ya internet wakati sipo ofisini, lakini pia gharama zao zipo juu, sasa je ni provider gani ambaye internet is cheapest?

siku za nyuma kuna jamaa mmoja alipost mbinu fulani za kutoa lock ili moderm ya vodacom iweze kutumika pia kwa ajili ya zantel na zain kwa internet, kwa bahati mbaya sana nimesahau jinsi ya kutoa zile lock na nimejaribu kusearch ile post nimeshindwa. Kwa hiyo yeyeto mwenye link ya ile post anitumie (PM) au yeyete mwenye hizo techniques za kutoa lock anieleweshe. Nahitaji kutumia lain zaidi ya moja kwenye modem moja ya vodacom.

Nawakilisha

Posti yangu hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/69788-unlock-your-vodacom-usb-modem.html

Iwapo utapenda kutumia lain ya ZAIN mb 400 utapata kwa tsh 2,500 (sawa na mb moja wanakuuzi tsh 6.25)
Unachotakiwa kufanya ni: Weka vocha ya tsh 3,000. Ingia sehemu ya msg andika INTERNET na tuma kwenda 15444, Utapata hizo mb 400 ambazo unatakiwa utumie ndani ya mwezi mmoja. Ukimaliza hizo mb waweza kununua tena kwa kutuma msg kama nilivyoeleza. Enjoy
 
Asante tcoal9, nitajaribu nikishindwa nitaku-PM
 
Asanteni sana wakuu, hasa tcoal9, nimefanikiwa ku-unlock modem na sasa nachomeka lain zote hutegemea na mazingira na promoshens
 
Shukrani pia, worked ila kwa nini avast inakamata kitu malware karibu na mwisho wa download?:hand:
 
Back
Top Bottom