vodacom Arusha imekuaje mbona toka juzi mtandao haupatikani?

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
jamani uongozi wa vodacom Arusha mbona mnatutesa wateja wenu,leo ni siku ya tatu network yenu imekua ya kusuasua sana na hamja tupa taarifa yeyote kama kuna matengenezo.naipenda voda but kwa mpango huu ntahamia kwa wenzenu.
embu tembeleeni zaidi maeneo ya mererani na mbuguni
 
Back
Top Bottom