Vodacom acheni Upumbavu!

Mkuu EMT! wakati mwingine inatokea unapress wrong button, binafsi nilishangaa kuambiwa nimejiunga na huduma ya tigo chart, inakera sana japo wengine huwa tunaingia kwa lengo la kujaribu lakini mwisho wake unapotaka kujitoa basi inakuwa kashshe
 
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs ngapi kiasi cha kutoelewa?
Tusemeje Voda muelewe?
Au ndio mnarudisha hela mliokodia Chopa ya Igunga?
Nimwekeka alfu ili niongee na mtu juu ya kumtumia M-Pesa, kushtuka 550/ ishakatwa eti kwa ajili ya kuambiwa "sishikiki", ni nini hiki?
Karibia kila siku naandika msg ya kuitoa kwenye hii promo feki, mbona hamnielewi?
Nishapiga mara kibao customer care kuwafamisha kua sitaki hii huduma, mbona hawanitoi?
Potelea mbali, huu sasa ni Usenge uliopitiliza huu!!!

hawa waxenge sana mi nishawa hama angalia huduma zao za kizushi kama dstv mobile wana kwambia free lakini tumia hiyo huduma wanakata hela ukipiga huduma kwa wateja wanadhalau kishenzi
 
AAAH hzo znatolewa kwa wao tu!! danganya toto il muendelee kushrk na wawakamue vlvyo!! unazan mi kabwera ntashnda hyo?
 
Mi nilishawahi kujiunga ya dizain hiyo zani, nikaona naibiwa tu, kila nikijitoa inagoma, nikawapigia customer care, wakanijibu "nani aliniambia nijiunge, hakuna m2 alikuforce ni wewe mwenyewe ulijiunga.." nikachoka, nikaishia kumtukana, kesho yake nikaenda direct ofic za zain mlima city, ndio wakanitoa!
UJUMBE WANGU KWENU: Tuwe makin na hizi promoshen za kampun za cmu, sio voda tu ni zote wezi wa2pu wanatuibia vijisent vye2. Maisha yenyewe magumu!
 
Hakuna fedha ya bure jamani... ili ule lazima uliwe... sasa hapo unaliwa kwanza, vumilia utakuja kula baadae.
 
TCRA wana udhaifu mkubwa sana, sijui kwa nini wanaruhusu haya makampuni kututumia msgs bila hiyari ya mtumiwa. Simu yangu ina sehemu ya spam box, angalau zingekuwa zinainghia humo siku nikiamu nazifuata huko huko yaani wanajaza memory zetu za simu bure$
yaani mara nyingine huwa hata sisomagi hizo msgd huwa nazifuta bila kufungua.

Zinakera.
 
Ka vipi wapige chini nenda airtel achana nao hawa wanatudanganya wamaongoza kumbe upumbavu tu
 
Mnanikumbusha enzi zile za ttcl,mitandao yote iliyopo bado upoteze nguvu kwa mtandao usiojali mteja wake,just tafuta mtandao wenye unafuu then hama, isn't that so simple..?
 
teh teh ...hamia AIRTELL...

Hao airtel nao ni wazushi tu! Wana huduma ya "NAKSHI NAKSHI" wanakutumia sms za kizushi ambazo hata hazikuhusu. Mfn: "NAKSHI NAKSHI":jahazi taarabu yapata pigo kwa kuondokewa na mpiga solo jumanne ulay ambaye ametimkia bendi mpya ya TZ moto modern taarabu itakayozinduliwa 28/10/2011 sms kama hii mtu unatumiwa inakuhusu nini! Hawa jamaa wanaboa sana.
 
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs ngapi kiasi cha kutoelewa?
Tusemeje Voda muelewe?
Au ndio mnarudisha hela mliokodia Chopa ya Igunga?
Nimwekeka alfu ili niongee na mtu juu ya kumtumia M-Pesa, kushtuka 550/ ishakatwa eti kwa ajili ya kuambiwa "sishikiki", ni nini hiki?
Karibia kila siku naandika msg ya kuitoa kwenye hii promo feki, mbona hamnielewi?
Nishapiga mara kibao customer care kuwafamisha kua sitaki hii huduma, mbona hawanitoi?
Potelea mbali, huu sasa ni Usenge uliopitiliza huu!!!

Punguza jazba kijana, hakuna aliyekutuma wala kukulazimisha kujiunga na hizo promotion, ni tamaa yako tu ya kupata ela za bure bure, sasa utalijua jiji!
 
Wanauzi sana. Usipoangalia unaweza kujikuta hasira zimekupanda ukawaibukia ofisini kwao na ka-mtutu mkononi.
 
Punguza jazba kijana, hakuna aliyekutuma wala kukulazimisha kujiunga na hizo promotion, ni tamaa yako tu ya kupata ela za bure bure, sasa utalijua jiji!

Mkuu, hata kama alijiunga kwa hiari yake, bado ana uhuru wa ku-opt out wakati wowote anapotaka. Siyo kulazimishwa kuwa kwenye kitu ambacho hukitaki.
 
Hivi hakuna mwakilishi wa Vodacom au TCRA humu barazani?
Au japo mfanyakazi tu wao afikishe malalamiko yanayotolewaga hapa?
Mbona tunaibiana mchana kweupe?
TCRA mko wapi lakini?
Mmehongwa Tshs ngapi kiasi cha kutoelewa?
Tusemeje Voda muelewe?
Au ndio mnarudisha hela mliokodia Chopa ya Igunga?
Nimwekeka alfu ili niongee na mtu juu ya kumtumia M-Pesa, kushtuka 550/ ishakatwa eti kwa ajili ya kuambiwa "sishikiki", ni nini hiki?
Karibia kila siku naandika msg ya kuitoa kwenye hii promo feki, mbona hamnielewi?
Nishapiga mara kibao customer care kuwafamisha kua sitaki hii huduma, mbona hawanitoi?
Potelea mbali, huu sasa ni Usenge uliopitiliza huu!!!

Wateja wa Tigo, Airtel na sasa Vodacom wanalalama kila kukicha hapa jamvini kwa huduma mbovu na gimmicks. Sasa ni kampuni gani ya simu ina nafuu jamani??
 
mkuu ulichoongea ni kweli! yani minshatukana mpaka basi! jamaa wakuda tu! hata huduma ya intaneti ni magumashi tu! minaona kwenye interneti na huduma zingine walau airtel wko fresh kidogo mkuu!
hawa wengine magumashi tu! voda hata kumhamishia mtu salio wanakata pesa fulani!
 
Punguza jazba kijana, hakuna aliyekutuma wala kukulazimisha kujiunga na hizo promotion, ni tamaa yako tu ya kupata ela za bure bure, sasa utalijua jiji!

Wewe vipi?
Kwani kama nilijiunga kwa hiari si nina hiari vilevile ya kujitoa?
Mimi ni mkaazi wa jiji hili la Dar toka mwaka 1985 so sina haja ya kulijua zaidi ya nilijuavyo.
Halafu mtu anapoelezea matatizo yake uache kusema ana jazba!!!
 
Back
Top Bottom