Voda watoa 4G LTE

Ni kweli hata mimi nbaada kuswipe Lyn yangu ya Voda pale mobile plaza wakanipa hiyo ya 4G, na nilipowauliza walisema kwa kuanzia wanaanza dar kwanza na 4G halafu then baadae ndo wanaspread nje ya dar ila kwa sasa wanachofanya ni kuandaa matangazo then itakua realesed soon.
 
Hata kama wametoa hiyo sahivi kifurishi cha buku jero kinaisha fasta toka juzi labda wanataka 2unge cha 2500 ndo wanacho kipromote sahv ! Ikija hyo 4g tutakufa
 
Tatizo la VOda bando zao ni ghali

Hicho ni kitu kimenifanya nisiione hii habari kama ni njema kwangu. Raha ya 4G ni uwe na maelfu ya megabytes ambapo kwao voda sijakiona kifurushi kizuri kwa hilo, ila tusubiri tuone wamejipanga vipi.
 
mkuu hiyo kitu ipo kwenye initial stage (taste) kwa wateja wachache tu ili kuecperience challenges kabla haijazinduliwa rasmi kwa wateja wote.
Kama una device ya 4G wahi kabadilishe laini ni bure kwa sasa ili uinjoy internet yenye kasi.
 
hbr wakuu,
Leo nimefika vodashop kwa ajili ya kupata laini ya 4G na kuprove, ni kweli ipo active japo wao wenyewe ukiswap hawakuambii hatimaye ni 4G kweli hata uku chaka yapatikana

Screenshot (2).png
 
Nimejaribu kuweka 4G ya Tigo inaniambia eti sitaweza kupata Voicecalls!!!! Kwahio nikiwa kwa 4G ndio Napata data tu?? Mweeeee
 
Nimejaribu kuweka 4G ya Tigo inaniambia eti sitaweza kupata Voicecalls!!!! Kwahio nikiwa kwa 4G ndio Napata data tu?? Mweeeee

Ukiweka Lte/Gsm unapata vyote 4g pamoja na voice calls. Ukichagua LTE only utapata data tu maana tigo bado awasupport Voice over lte VoLte. Smile tu ndio wana hii service sijui vodacom wiki hii nadhani nitaenda kuswap line nitest
 
Asante sana ila ukweli ni kwamba sijawahi kuiona hata inafafanaje maana kila siku naishia kwenye E juzi nimeweka Airtel at least ilifika kwa H+ na ikawa kwa baadhi ya nyakati ina download hadi 700kb/s
 
Ahhhh 4g ya tigo mizinguo kwanza kwangu haivuki 23Mbps au 3MB/s wakati hizo ni spidi za HSPA+. Ndio maana nilikuwa nawasubiri Airtel au vodacom waingie ulingoni sana sana airtel maana bundle zao ni nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom