Voda unlimited internet wakuu vp.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nimeona nivema nipate ushauri wenu kabla sijanunua bundle hii.Wakuu vipi ubora na changamoto zake.
 
ya wiki au mwezi,

natumia ya wiki spidi ni nzuri mno lkn baada ya 2GB data unapunguziwa spidi kwa kiasi kikubwa kweli.
 
Nunua ya mwezi ni nzuri speed inapungua siku ya 28 na kuendelea ipo poa sana mkuu
 
unaweza ukatumia mwez ispungue speed hio inategemea na lini umemaliza 2gb zako mfano umemaliza siku ya 3 ujue hapo hapo yapungua mfano mi nkinunua ni masaa tu speed inakata na wanapopunguza speed inakua inarange 25-50 kBps
 
kwahiyo bora 3 days unlimited ya zantel sh.10,000.00
 
Fanya research kaka katika mtaa wako unaokaa usiconclude mtandao flan una speed kuliko mwengine then ukipata mtandao flan kwa mtaa wangu ndo unakimbiza angalia budget yako then nunua bundle. Nkipata mda ntaeka post ya mitandao yote na bei za bundles
 
unaweza ukatumia mwez ispungue speed hio inategemea na lini umemaliza 2gb zako mfano umemaliza siku ya 3 ujue hapo hapo yapungua mfano mi nkinunua ni masaa tu speed inakata na wanapopunguza speed inakua inarange 25-50 kBps

Ni kweli kabisa Chief Mkwawa. Mimi hizi bundle za voda za unlimited naona ni kiini macho tu. Unlimited inatakiwa iwe katika factors zote including speed. Kwa kuzingatia hilo basi, nimeona bora kuchukua bundle la 5GB for Tsh. 20,000/= within 30 days. Hapa utapata maximum speed kutegemea na eneo ulipo.
 
Back
Top Bottom