Voda ni wababaishaji?

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
katika siku za karibuni takriban siku ya nne sasa mtandao wa voda umekuwa ni KERO KUPITA KIASI, network inasumbua na huduma nying hazipatikani kabisa na HAKUNA TAARIFA yeyote ile waliotoa kwa wateja wake. Naomba kuwauliza hawa Voda HUU NDO MTANDAO WENYE HUDUMA MNAZOJISIFIA KILA SIKU? acheni ubabaishaji na kama kuna tatizo ni BORA MKATOA TAARIFA MAPEMA KWA WATEJA WENU.
 
Hata mimi hili nimeliona nimenunua umeme wa Luku kwa njia ya M-Pesa Mpaka sasa hakuna jawabu lolote ingawa pesa yangu ilisha pokelewa tanesco ukiwauliza wanasema tunashughulikia leo siku ya tano
 
Back
Top Bottom