Voda jibienh ujambazi huu.

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Wakuu toka wauza vocha kulalamika kuwa vocha ya mia tano haina faida na kutishia kutozhjumua na kuziuza kwa mtumiaji wa mwisho voda wamekaa chini na kuwazua kuja na vocha za shiling mia nne hamsini 450 Tsh. HIZI VOCHA NDO ZINAONGOZA KWA FAIDA KWA SASA NA ZINAUZWA MIA TANO 500 TSH, WATU WENG WANALALAMIKA UJAMBAZI HUU UKIWAPIGIA CUSTOMER CARE UTAJIBIWA HAMA MTANDAO JAMANI HIVI VODA WALIKUWA NA MADHUMUNI YA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA WAWAIBIE WATANZANIA? natumaini kama voda ni wanajua thamani ya wateja kwao wajibie hili. Nawasilisha wakuu. mods msiunganishe thread hii na nyingine nawaombeni.
 
Wakuu toka wauza vocha kulalamika kuwa vocha ya mia tano haina faida na kutishia kutozijumua na kutoziuza kwa mtumiaji wa mwisho voda wamekaa chini na kuwazua kuja na vocha za shiling mia nne hamsini 450 Tsh. HIZI VOCHA NDO ZINAONGOZA KWA FAIDA KWA SASA NA ZINAUZWA MIA TANO 500 TSH, WATU WENG WANALALAMIKA UJAMBAZI HUU UKIWAPIGIA CUSTOMER CARE UTAJIBIWA HAMA MTANDAO JAMANI HIVI VODA WALIKUWA NA MADHUMUNI YA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA WAWAIBIE WATANZANIA? natumaini kama voda ni wanajua thamani ya wateja kwao
 
Back
Top Bottom