ttcl broadband ndio wenyewe. Speed hakuna mfano. Hizo 4 gb nadhani inashusha na kwa saa moja! ninashangaa sana watu wanaosifu mtandao unaoshusha 4 gb kwa masaa 7-8
Sijui sana kuhusu 1Mbps,512Kbps au 256Kbps ila nina chukua kifurushi cha 4gb kwa mwezi speed ya kudownload au ku upload inatisha!mzee ni kifurushi gani unachotumia kwenye ttcl?ni 1Mbps,512Kbps au 256Kbps??
sina imani na hawa jamaa