Firefox
Senior Member
- May 10, 2011
- 127
- 71
acha kudanganya watu.... Una isp zaidi ya mmoja, kama kweli umedownload kwa kupitia voda tupe snapshot ya dashboard ya voda kwenye statistics, tuone umedonload kiasi gani cha data...
Maana ukituonyesha statistics ya vuze utakuwa unatudangaya maana waweza download kwa kutumia mitandao mingine na vuze ikaendelea kuweka rekodi za files unazo shusha na kupandisha....
99gb kwa mtandao flani unatozwa tsh 1,000,000/- ndio voda wakupe 103gb kwa tsh 30,000/- kweli? Kadanganye watoto....
hata hivyo siwezi nikakubishia maana ukipiga hesabu ni kwamba unadownload 4gb per day..
hahahaaaa, uncle hapo kwenye red umefanya nicheke sana, naona unabisha kwa nguuuuuuvu, halafu unajijibu mwenyewe.