Voda internet bomba30 ni nomaaaaaaaaaaa

LARRYHOVER

Member
May 9, 2011
29
1
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
 
haya yamezungumzwa sana humu ndani, speed hulingana na mahali ulipo na coverage yake. kama ni ****** anaenda kwake bwagamoyo akifika kimara tu ni gprs hakuna cha 3G wala hspda
 
kwa kweli mi mwwnyewe nimeshangaa vod acjui wameckia kilio chetu!!!!spidi imeongezeka gjafla yaani napakua video za utune kwa 250KBps mpaka 90KBps mchana kweupee na spidi ikisua ni mda kidogo tu then inajirudia cjui ndo wanatutest!!!!!au ndo wateja wamewahama tumebaki wachache!!
 
mi nna unlimited 30days. sehem nyingine inaniletea edge, sehem nyingine gprs na mara chache sana 3g...wizi mtupu, nii inategemea kama upo chini ya mnara au la.
 
Nimejiunga na kifurushi cha unlimited for 30 days cha vodacom
aisee ina speed nzuri cjapata ona naeza download like 4 GB Kwa masaa 12. usipimee
nawashauri mtumie hiii...
Mimi Vodacom muda mrefu sana na hapa nilipo natumia Modem yao ya K3565. Kwa hapa nilipo kuibahatisha WCDMA, HSDPA ni mara chache saaaaaaana na nikiibahatisha inakaa dakika chache halafu inapotea kabisa na kubaki EDGE na wakati mwingine GPRS hata GCM. Matokeo unadownload file la 3MB kwa saa nzima. Aaaa Voda hebu rekebisheni hili. Wewe unayedownload 4GB kwa 12HRS yawezekana kabisa uko mita chache kutoka kwenye mnara wa voda. Hebu nenda sehemu za mbali na mnara uone kama hutaichukia Voda.
 
pia angalia baada ya kudownload GB kadhaa your speed will automatically be reduced. usifurahie ushindi ndio kwanza hata kipindi cha kwanza hakijaisha.
 
Mimi Vodacom muda mrefu sana na hapa nilipo natumia Modem yao ya K3565. Kwa hapa nilipo kuibahatisha WCDMA, HSDPA ni mara chache saaaaaaana na nikiibahatisha inakaa dakika chache halafu inapotea kabisa na kubaki EDGE na wakati mwingine GPRS hata GCM. Matokeo unadownload file la 3MB kwa saa nzima. Aaaa Voda hebu rekebisheni hili. Wewe unayedownload 4GB kwa 12HRS yawezekana kabisa uko mita chache kutoka kwenye mnara wa voda. Hebu nenda sehemu za mbali na mnara uone kama hutaichukia Voda.

Kwenye preferences/options set modem iunge kwenye UMTS/WCDMA only hapo modem itakuwa connected kweye 3G coverage only hata kama sngnal ni weak
 
Nimeihama voda, wacha pumba. Speed mbovu, inakata kata, hata ya kwenye simu tu nayo ni bomu nataka niachane nayo hivi karibuni, nangoja credit zangu ziishe tu. TiGo ina afadhali inapopatikana.
 
Ni kweli kabisa, ni mwezi wa tatu sasa natumia bomba 30, kipindi cha nyuma nilikuwa natumia airtel ya 400mb.

Nipo voda na bomba 30, ndani ya siku 25 tayari nishashusha files kwa torrents za 100 gb.
 
Ni kweli kabisa, ni mwezi wa tatu sasa natumia bomba 3o, kipindi cha nyuma nilikuwa natumia airtel ya 400m.

Nipo voda na bomba 30, ndani ya siku 25 tayari nishashusha files kwa torrents za 100 gb.

mmmmmhhhhhhh!!!
 
Untitled.png

KAKA AMBILI NAONA UMEGUNA, HII INAONESHA HUJANIAMINI, NAJUA WABONGO NI MPAKA MSHUHUDIE, HAYA, NIMEWEKA SCREEN SHOT HAPA, ANGALIA HAPO JUU UTAONA TOTAL 103.9GB HALAFU UPTIME NI 24 DAYS 3HOURS, NA BEFORE THIS SIKUWA NATUMIA VUZE, NILIKUWA NATUMIA BITTORENT.

BADO HUAMINI?????????????????????????

:dance::dance::dance::dance:
 
Nimeihama voda, wacha pumba. Speed mbovu, inakata kata, hata ya kwenye simu tu nayo ni bomu nataka niachane nayo hivi karibuni, nangoja credit zangu ziishe tu. TiGo ina afadhali inapopatikana.

Faiza, tiGO inaweza ikawa inapatikana vizuri hapo kwako lkn kwa wengine network ikawa ni kero..........download/upload speed hutegemea pia na location ulipo
 
Faiza, tiGO inaweza ikawa inapatikana vizuri hapo kwako lkn kwa wengine network ikawa ni kero..........download/upload speed hutegemea pia na location ulipo

Speed za Tigo hata hapa kwangu ni ndogo averages 125kbps download, lakini haikati. Voda loooo. Hata hiyo 125 nilikuwa sipati, tena kwa kukata ndio usiseme.
 
attachment.php

KAKA AMBILI NAONA UMEGUNA, HII INAONESHA HUJANIAMINI, NAJUA WABONGO NI MPAKA MSHUHUDIE, HAYA, NIMEWEKA SCREEN SHOT HAPA, ANGALIA HAPO JUU UTAONA TOTAL 103.9GB HALAFU UPTIME NI 24 DAYS 3HOURS, NA BEFORE THIS SIKUWA NATUMIA VUZE, NILIKUWA NATUMIA BITTORENT.

BADO HUAMINI?????????????????????????
:dance::dance::dance::dance:

Acha kudanganya watu.... Una ISP zaidi ya mmoja, kama kweli umedownload kwa kupitia voda tupe snapshot ya dashboard ya voda kwenye statistics, tuone umedonload kiasi gani cha data...

Maana ukituonyesha statistics ya Vuze utakuwa unatudangaya maana waweza download kwa kutumia mitandao mingine na vuze ikaendelea kuweka rekodi za files unazo shusha na kupandisha....

99GB kwa mtandao flani unatozwa TSH 1,000,000/- ndio voda wakupe 103gb kwa TSH 30,000/- kweli? kadanganye watoto....

Hata hivyo siwezi nikakubishia maana ukipiga hesabu ni kwamba unadownload 4gb per day..
 
Ushuhuda wako wote kimya

kinachozungumzwa hapa labda hakijaeleweka issue ni kwamba speed anayopata firefox usidhani kila sehemu ukikaa utaipata, la hasha. binafsi nina modem ya voda lkn sipati hiyo speed tena napoishi ndio kabisa napata gprs wakati mwanzoni haikuwa hivyo. uncle rukus aliwahi kufungua thread ya speed ya tigo inatisha na kwa kutomwelewa watu wakakimbilia kununua modem na wengine wakaishia kumlaumu kwa kutopata speed kama ambayo yeye anapata
 
Teh huku mwanza zain ndiyo komesha maana speed kwenye download inasoma mpaka 168kbps then ile connection speed inachezea kwenye 2mbps had 3mbps hyo 4gb anayosema hapo juu naweza ipata kwanzia masaa 7-8
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom