Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 659
Nimeuliza kwasababu,kwenye kitabu cha TCU (ie Student's Guidebook) wameandika zinapatikana NBC,cha ajabu leo nimeenda kwenye tawi moja Arusha,wanadai hawajui kitu kama hcho!
Nimeuliza kwasababu,kwenye kitabu cha TCU (ie Student's Guidebook) wameandika zinapatikana NBC,cha ajabu leo nimeenda kwenye tawi moja Arusha,wanadai hawajui kitu kama hcho!
hata mimi sizijui lol!!!
ndio nini? naomba elimu kidogo
Habari zenu wadau!!
Niliwahi kuzungumza na TCU wiki iliyopita kupitia simu, wakasema kwamba NBC ndiyo wameshinda tender ya mwaka huu so ndiyo watauza hizo vocha.
Kuhusu kuchelewa vocha ni kwamba kulikua na matatizo ya kiutendaji baina yao TCU na NBC na wakanishauri nirejee tena wiki hii. Jana tena nimewauliza wakasema bado mambo hayajatengemaa labda mpaka wiki ijayo NBC wataanza kuuza hizo vocha rasmi na TCU watatangaza kupitia vyombo mbalimbali.
Pia niliuliza kama kutokana na huu ucheleweshaji VOCHA je kutakua na kusongezwa mbele deadline ya kutuma maombi pia? wakanijibu kwamba ndiyo atasogezwa deadline pia.
So wadau kuanzia Jumatatu jaribuni kupitia mtandao wa TCU kama kutakua na taarifayoyote rasmi kuhusu hili suala.
Athanteni!eace: