Vocha ya Airtel ya Tshs 1000/- ....... !!!

Mimi jana PC yangu ilisumbua,samahani kwa usumbufu... Sasa sijui ni server la JF
 
Mi tayaro imesha nikumba hii ya vocha namba za mwisho zilichunika wkt nakwangua nilisikitika sana.
Sasa hivi wameanza wizi mkubwa sana mwezi uliopita nikiweka buku internet na peruzi siku 3 ila sasa hivi nikiweka buku internet naperuzi dk.10 buku imeisha bora kuhamia tiGo tu huu ni wizi wa mchana kweupeee
 
Unapohitaji kusaidiwa kitu hakikisha unajieleza kwa ufasaha, sasa kama wewe mwenyewe hata kujieleza tu hujui unatalajia ueleweke vipi!?

Yaani,naongelea kuwa katika hii thread,nimepost zaidi ya mara nne! Tena kwa maelezo yaleyale...
Nakumbuka nilikuwa nikisubmit,inaonesha kana kwamba server liko down... Na post zikawa haziendi.. Ila leo naziona!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom