trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
- Thread starter
- #41
Vocha za airtel za 1000 ni nyepesi kuharibika, mi mwenyewe hapo majuzi nlikwangua ikaharibika, nikapiga huduma kwa wateja wakanambia niende kwa mawakala ndo wanisaidie. Wakati swala ni kutaja serial number mchezo unaisha. Sidhani kama hawa jamaa wanatujali wateja!
Mi nadhani "they don't have that time" kabisa..