Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VOA: Mbunge Mangungu Vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndyali, Jun 2, 2012.

 1. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,195
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Katika mjadala wa uwajibikaji kati ya Jembe la CHADEMA Mchungaji Msigwa na ****** Mangungu wa nyinyiem, ****** Mangungu, ameonekana hasomi alama za nyakati, kwa kusema eti umma wa watanzania unawamini sana magamba ndo maana wamewapa ridhaa ya kuongoza.
   
Loading...