Vizuizi vinavyokufanya usioe ama kutoolewa

Umbo langu.
Mnasema wanawake wenye lumbesa tutaishia kuwa mahawara....na ndo yanayonikuta.

Naishia kubadilisha vitanda vya lodge tu na kuhesabu ngazi za kupandia vyumbani.
Kudadeki zenu wanaume.
 
pole na hongera... wengine hata nafasi ya kupelekwa lodge hawana!!! be thankful
 
Umbo langu.
Mnasema wanawake wenye lumbesa tutaishia kuwa mahawara....na ndo yanayonikuta.

Naishia kubadilisha vitanda vya lodge tu na kuhesabu ngazi za kupandia vyumbani.
Kudadeki zenu wanaume.
Kwa uzuri wote ulio nao????.... Haiwezekani.....!!!!!!!!! We mwongo.
 
Aliyekwambia uzuri wa gari ni body nani?
Kitu engine....bhana (naktania)

Ila na-enjoy sana kuwekwa kimada maana ninamzidi hata nyumba kubwa kwa penati.
Tangu nimevunja ungo mpaka leo, nishawekwa kinyumba zaidi ya wanaume 12...mkataba tu
 
Umbo langu.
Mnasema wanawake wenye lumbesa tutaishia kuwa mahawara....na ndo yanayonikuta.

Naishia kubadilisha vitanda vya lodge tu na kuhesabu ngazi za kupandia vyumbani.
Kudadeki zenu wanaume.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha duh..........
 
Aliyekwambia uzuri wa gari ni body nani?
Kitu engine....bhana (naktania)

Ila na-enjoy sana kuwekwa kimada maana ninamzidi hata nyumba kubwa kwa penati.
Tangu nimevunja ungo mpaka leo, nishawekwa kinyumba zaidi ya wanaume 12...mkataba tu

Dah!! Hongera sana madame. But nafasi ya kutubu na kuachana na tabia hyo bado upo. Hujachelewa unaweza kuanza sasa. Ubarikiwe.
 
Ukiwa kama binadamu unaitaji kuwa na msaidizi wako ndio maana tunaona katika kitabu cha mwanzo mungu alimtafutia adamu msaidizi si kwamba adamu alikuwa hana uwezo la hasha alijua anaitaji kuwa na msaidizi wake wa karibu
vivyo hivyo ukiwa kama binadamu wa leo uniataji kuwa na msaidizi wako wa karibu kihalali hapa na zungumzia kwenye ndoa

ukisoma vitabu vya biblia utaona kwenye 1samweli 1;17-27, 1sam 18:2-26 utaona si zumuni la mungu kukupa mke asiesahihi
unaona daudi alioa mke asie sahihi;;ukija kwe sauli unaona alioa delila mke asie sahihi uwezi kumsaliti mumeo unaempenda hata siku moja si hivyo tuupande wa wanaume utasoma 1samweli 25:34-36 juu ya mwanaume mwanamke mmoja abigaeli alieolewa na mume mppumbavu si mimi biblia inasema hivyo.. Swala la kupata mke /mume sahihi linaitaji maombi sana wandugu na si kufikiria kirahisi
kuna watu wamekaa kwa wazazi na awafikirii kuondoka leo wala kesho na umri umeziidi kwenda si kwamba kuhama bali kufikiria kupata wenza wao na pengine sipendi sema vibaya juu yao..maana nina ndugu waathirika na nashukuru mungu atupe njia ya kushinda hili leo nimeona tujulishane jins gani ya kujitoa kwenye hii laana

zab 84:11 inasema bwana hutoa kitu chema so mke ama mume bedui huyo sio mpango wa mungu..wakristo wengi tumeidhinisha ati kwa kuwa tumeingia mkenge tunadai huyo ndio alietoka kwa mungu no..soma mpango wa mungu kukupa kitu chema...kuna roho za mapepo ndizo zinatawala kwenye hili swala tuanze na yafuiatayo natumani ukisoma ukaelewa fanyia maombi mungu atakuinua na utapata mpenzi wako mzuri tu toka kwa mungu....

1.jini mahaba
2.urithi kwenye ndoa
3.pito la mzao wakwanza
4.laana ya kifedha
5.majina tunayopewa na wazaz wetu
6.roho za kukataliwa
7.laana za wazazi
8.changamoto ya afya
9.changamoto ya kiroho

Amina na tusisahau roho za mbari roho zinazotawala pahali ulipo tubia ardhi na mji,mtaa na pahali uliopo maana uenda kuna roho wenyeji zinazotenda kazi na roho wenyeji ni waharibifu na utaka mambo yawe kama watakavyo. Usilalamike mume wangu kule kwa zamani tulipokuwaga alikuwa anatupenda kutujali nk ila tangu tumehamia huku amekuwa sijui nisemeje,kawa mlevi?watoto mpk wafukuzwe ada tofauti na zamani... hapo ujue roho wenyeji washakuvaa ili uishi kwa mateso kama waishivyo wao. Mungu atusaidie na kutupa macho ya ndani,mikono yetu ya ndani ikainuke,roho zetu za ndani zisilale ziwe macho na kazini saa zote za maisha yetuu.
 
Uuh mbarikiwe sana wapendwa jamani, sijaenda kanisani leo lakini Kila nikiwasoma najihisi kama nasikiliza mahubiri. Tunaweza tukaziita roho za maeneo/ watawala/ wenyeji.
 
Umbo langu.
Mnasema wanawake wenye lumbesa tutaishia kuwa mahawara....na ndo yanayonikuta.

Naishia kubadilisha vitanda vya lodge tu na kuhesabu ngazi za kupandia vyumbani.
Kudadeki zenu wanaume.

mm nasema cku gan ntampata kama we. plz ucjishushe hivo wengne tunataman tutawapata wap
 
Aliyekwambia uzuri wa gari ni body nani?
Kitu engine....bhana (naktania)

Ila na-enjoy sana kuwekwa kimada maana ninamzidi hata nyumba kubwa kwa penati.
Tangu nimevunja ungo mpaka leo, nishawekwa kinyumba zaidi ya wanaume 12...mkataba tu

Etiiii ?duuuuu aseeee
 
Back
Top Bottom