Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara.

acha ufala. kwani ukiweka bei kitaharibika nini?

Hahaaa, Tartibu kaka. Kama hauwajui madalali uchwara watakutia hasira mno. Kuna wakina kitomai wanafanya kazi kitaalam zaidi, bei inabandikwa hadharani hata kama ni Dola Millioni ngapi anaandika na anajibu hoja zote mbovu na mbivu! Huyu jamaa labda amedalalia pakubwa mno, au basi tu hana moyo mpana, au hajawahi kukaa dukani aone wateja wanavyofanya window shopping, hahaaa! Mpoteezeeni tu ndugu yetu huyu banaa.:lock1:
 
Bei husika zinafaa kwa wauza unga, mafisadi na wale ambao ni wepesi kutapeliwa. Kwa nchi iliyokuwa ya kijamaa jana, bila kuiba au kufanya ufisadi na kuuza unga utaipata wapi hiyo pesa? Au ni yale yale ya wahusika kujimegea viwanja, kupandisha bei huku wanaonunua wakichukua fedha za umma kupitia EPA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom