Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

Habari nilizopata mida hii kutoka kwa swahiba wangu aliye katika uongozi wa juu ni kwamba serikali imewekwa katika mtihani mkubwa kuhusiana na mgeni Prince Charles, kutokana na yanatokea Arusha. Kuna baadhi ya wakuu wanaona yule hakimu hakutumia busara kwani angemtoa jana Lema, CDM wakafanya mkutano wao jana na leo, na kesho tarehe 9 Arusha ingekuwa shwari kwa ajili ya ziara ya Prince Charles eneo hilo.

Wanaona sasa hali hii inaweza ikaharibu kabisa ratiba.

Majuto mjukuu.
 

Duh! Magamba kweli! Wabunge ndiyo UMMA? Chama cha Hosni Mubaraka huko Misri (NDP) kilikuwa na Wabunge wengi sana Bungeni karibu asilimia 80 ya Wabunge wote -- lakini ona nguvu ya UMMA ilivyomtokomeza.

Siku nyingine jaribu haidhuru kutumia kichwa chako cha nazi katika kufikiri badala ya makalio yako!

Wewe kweli akili ukwaju, ebu niambie chama gani kimeiangusha serikali ya Mubaraka? Hakuna chama duniani kinachofanya mapinduzi..

Mapinduzi yanafanywa na wananchi wenyewe Chadema ni kikundi hakiwezi kufanya mapinduzi, endelea kujidanganya
 
Nazan polis wamecheza sana na mda kwa mda ule walio wasil pale wananch weng walikuwa wamepungua na fujo kubwa za wezatokea kuanzia saizi maana wa2 weng wapanga kujib mashambuliz walau hata kwa kuua polic hata 1.Kuna kund kubwa sana hapa la vijana wanadiscuss ni vip watalipa kisasi.

Hapo kwenye RED kama hizo ndizo ajenda basi CHADEMA ijitazame upya!
USHAURI KWA CHADEMA
Jaribu kadri muwezavyo kujitenga na hili jambo la Vurugu/uvunjifu wa amani mnalousishwa nalo. Imesemekana Chadema ni chama cha vurugu kwa muda mrefu na kumbukeni uongo ukirudiwa mara nyingi basi ugeuka kuwa ukweli.

Tunapinga mipango yoyote ya kulipa kisasi kwa kuwaua askari wetu, jifunzeni kutoka ARAB SPRING. Ili maandamano yafanikiwe ni bora waandamanaji wajitenge na vitendo vya vurugu otherwise sahau Public sympathy!
 
Serikali yetu na chama tawala zimejaa watu wasio na busara kabisa. Siamini kama hawajui kwamba kadri unavyozidi kuwanyanyasa wananchi mara kwa mara ndo kadri unavyozidi kuwaotesha sugu, na baadae wanaweza kufanya hata mambo ambayo hukuyatarajia.
 
Jf waliko huko tafadhali tunaomba mtujuze kinachoendelea mana arusha tumeamshwa na mirindimo ya mabom,risasi NAWASILISHA!
 
Vladimir Lenini aliongoza mapinduzi URUSI akiwa na kikundi cho watu wachache na aliwahi kusema "better few but better". Hivyo wanaweza wakawa wabunge wachache makini na wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko kuwa na wabunge wengi ambao ni mazuzu.

Wewe ujui chochote naona unaongelea vita Lenini kapigana vita vya silaha..

Kwa hiyo Chadema nao wanaingia mstuni kuanzisha vita?
Mwambieni huyu a loser Dr Slaa atangaze vita uone huo mfano wako utakavyofanya kazi
 
habari nilizopata mida hii kutoka kwa swahiba wangu aliye katika uongozi wa juu ni kwamba serikali imewekwa katika mtihani mkubwa kuhusiana na mgeni prince charles, kutokana na yanatokea arusha. kuna baadhi ya wakuu wanaona yule hakimu hakutumia busara kwani angemtoa jana lema, cdm wakafanya mkutano wao jana na leo, na kesho tarehe 9 arusha ingekuwa shwari kwa ajili ya ziara ya prince charles eneo hilo.

Wanaona sasa hali hii inaweza ikaharibu kabisa ratiba.
Nasikitika kusema sikumbuki nilini viongozi wa serikali akiwemo jk mwenyewe chini ya chama tawala ccm wakawa na busara!
 
The cowardly, military like operation against peaceful protesters conducted in dark ,to say the least is deplorable and must be condemed in strongest terms.
 
Lets people wa dar tuunge mkono sasa. maana enough should be enough hawa ccm hakuna mwenye busara watatuangamiza hawa!
 
Yaani ni balaa 2pu mi nilikuwa hapo sema nilifanikiwa kuchomoka maana polis walivamia na kupiga mabom.
Cjui leo arusha kama patakalika.
Viongoz kibao wakamatwa na kupelekwa sero ni wa2 weng sana wamekamatwa.

Nimeanza kuamini kuwa humu ndani kuna watu huwa wanatulisha na kutujaza vitu visvyoaminika kabisa
 
tupe live, na huyo mtoto wa malikia anakuja huko leo au wameahirisha safari yao
 
Back
Top Bottom