Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

habari za uhakika kutoka arusha ni kiwa dr slaa amekamatwa na polisi alfajiri ya leo kwenye viwanja vya nmc....

more to come
 
inamaana police wamewatawanya watu uwanjani?

Mkubwa nakwambia hakuna hata mtu mmoja pale uwanjani na wamechoma karibu kila chochote kama baadhi ya turubali ambao jana tulikuwa tunajinusuru nayo na baridi kali iliyokuwepo.

Ila nahisi hii ni mwanzo mzuri sana kwani ukipita A town karibu kila genge ni kwamba wanaongelea mambo ya ukombozi tu. Kuna hili neno linatumika sana "KUZALIWA NI SIKU MOJA na KUFA NI SIKU MOJA" wengi wakijiapiza ya kwamba hakuna kurudi nyuma.

Hebu ngoja maana nipo hapa town na lolote jipya lijirilo nitawajuza.
 
hatua ya jeshi la polisi kupiga mabomu muda huu wa saa 11 asubuhi na kuanza kuwatanya wana chadema ni kosa kubwa la ki ufundi, ambalo hawata kaa walisahau.

Maana tayari watu wote wamepanga kwenda nmc asubuhi na hata wale walio lala majumbani mwao wanajipanga leo kuacha sughuli zote na kuingia mjini kwa kasi ya ajabu kuongeza nguvu kubwa ya umma ambao wamekesha uwanjani

kwa maana hiyo basi huyo aliyewashauri kuanza kurusha mamabomu mida hii atajutia uamuzi wake maana tayari watu akili zao wameshajipanga na walitarajia chochote chaweza kutokea kutokana na tabia ya mabavu ya serikali namna ya ku handle mambo hivyo haitakuwa rahisi kwa jeshi la polisi kuwatawanya bila kuleta madhara makubwa kama mwanzo kwa sababu hata watu wengine wamekuja kutoka mikoa ya jirani kuja kuongeza nguvu kubwa iliyokesha uwanjani hapo.

mimi nafikiri imetosha viongozi wakuu wa nchi hii kudhalilishwa na serikali ya vikaragosi wa ccm arusha kaeni nje sitisha shughuli zote sasa yawe mapambano dhidi ya hawa manyangau wezi wakuu
 
habari za uhakika kutoka arusha ni kiwa dr slaa amekamatwa na polisi alfajiri ya leo kwenye viwanja vya nmc....

more to come
Naye kaona umaarufu umepotea? naona kajipeleka mwenyewe.
kweli chadema still ni wachanga kwenye siasa.
 
Kwa hili tatizo linaweza Kuwait kubwa kama nae akikataa dhamana
 
Jamani, hivi kweli hakuna njia mbadala ya kulishughulikia hili jambo?. Kama Lema yuko ndani kwanini tusiache sheria ifuate mkondo wake?, huo mkutano hapo NMC utasaidia vipi katika kutatua tatizo hili?. Kweli imeshindikana kukaa mezani na kulizungumza suala hili kistaarabu?.

Inawezekana kabisa kuna mambo hayaendi ipasavyo lakini pia jinsi ya kudai haki isitumike fujo, busara na hekima itumike badala yake.

Hakuna mwananch aliefanya fujo! Km watu wamekaa ucku mzima hawajampiga hata m2 then police wanakuja kuwapiga unadhani mleta fujo hapo nani?
 
Namuomba a loser Dr Slaa asikubali kutoka akae na Lema Selo hata mwaka
 
natamani nasi bongo tungekuwa na movement kama hiyo
wacha wewe upuuzi...watu tache kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na vizazi vyetu vijavyo tuhangaikie maandamano na kukesha kusiko na tija.

Dr Slaa,nae anashikiliwa Kituoni
hana jipya,,,kasjaishiwa sera.

Nimeongea na mtu sasa hivi toka Unga ltd anasema hali ni shwali wanajikusanya upya.
Mtajipanga sana upya mwaka huu

Sipendi kuckia kuna raia wamedhurika!
Kwa ujinga wao lazima wadhurike...wangekuwa wanajitambua wasingeenda kuandamana

Mbowe na dr Slaa na Tindu Lussu wamekamatwa kituoni,ila watu wamegoma kufanya kazi leo na hakuna usafiri na watu wameanza kujikusanya tena uwanjani,Mungu tubariki CHADEMA,wao CCM wana pesa na polisi na mafisadi,sisi CHADEMA tuna MUNGU anayetulinda.
Naona kujipeleka GERezani ishakuwa staili mpya ya viongozi wa chadema
 
Bila Haki hakuna Amani wala Utulivu!
Mr Ocampo karibu sana usisubiri Kuunda tume ya uchunguzi kuhusu chanzo cha dhulma!
 
Naye kaona umaarufu umepotea? naona kajipeleka mwenyewe.
kweli chadema still ni wachanga kwenye siasa.
Wewe unafikra mgando sana,huyo kigogo baba yako aliyepo CCM asikupe kiburi hayo maisha mazuri uliyo nayo kwa kuiba mali za watanzania zisiwape kiburi nyie watoto wa CCM na hawo baba zetu wanadhurumu maliasili za watanzania.

Kikubwa ambacho mmeanza kulaaniwa na MUNGU kwa dhurma mnayoifanya kwa watanzania ni kukosa uwezo wa kufikiri,akili zenu zimekuwa finyu, mnawaza kwa kutumia makamasi na makalio badala ya ubongo,akili mmefungia kabatini,MWISHO WENU UMEKARIBIA NYIE MAFISADI NA WAUME WENU KINA NAPE
 
Wana wa Arusha hakuna kulala mpaka kieleweke, lipueni vituo vyote vya police, na magari ya serikali kwa mabomu ya asili, only petro na chupa. Duh! Nataman nigekuwa A-TOWN maana tumechoka!
 
Wewe unafikra mgando sana,huyo kigogo baba yako aliyepo CCM asikupe kiburi hayo maisha mazuri uliyo nayo kwa kuiba mali za watanzania zisiwape kiburi nyie watoto wa CCM na hawo baba zetu wanadhuruma maliasili za watanzania,kikubwa ambacho mmeanza kulaaniwa na MUNGU kwa dhurma mnayoifanya kwa watanzania ni kukosa uwezo wa kufikiri,akili zenu zimekuwa finyu,mnawaza kwa kutumia makamasi na makalio badala ya ubongo,akili mmefungia kabatini,MWISHO WENU UMEKARIBIA NYIE MAFISADI NA WAUME WENU KINA NAPE
Wewe ndiye una mawazo mgando...unadhani wote waliopo JF ni watoto?
Who is Nape...Tanzania yote hii mwanasiasa unayemfahamu ni Nape tu?
 
Back
Top Bottom