Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

historia inaonyesha kwamba huu ni muda wa mabadiliko dunia nzima chadema msikate tamaa tuko pamoja ccm wameishiwa hoja wanafikiri fujo ndio mpango na hii inaonyesha kuwa wameshindwa kuwatumikia wananchi wakae pembeni wapishe wanaoweza
 
hili suala la uraia wa nchi mbli kwa tanzania halikubariki labda kwa nchi za wenzetu ambao wanajali utawala wa sheria
hapa kwetu viongozi wetu kama kama sual hili likikubalika watachota rasilimali za taifa na kuzificha nchi nyingine HATUTAKI KUSIKIA JAMBO HILI HATA KIDOGO
 
Back
Top Bottom