Viwanja vya ikulu havina hati miliki

Inkognito

Member
Feb 13, 2011
86
108
Ndugu great Thinkers, kuna mdau kutoka ofisi ya rais-ikulu amedokeza kuwa viwanja vya ikulu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo ndipo yalipo makazi na ofisi ya Rais havina hati miliki ya eneo hilo. Chanzo kinazidi kueleza kuwa kihistoria ikulu hiyo ililithiwa kutoka kwa wakoloni ambao walilichukua eneo hilo kutoka kwa familia ya akina Rupia kwa mabavu na kuifanya kuwa makazi ya Rais.

Chanzo kinazidi kudokeza kuwa bado kuna maeneo mengi yanayokaliwa na serikali kama majengo ya ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya ambayo hapo awali yalijukana kama bomani hayana hati zinazoonesha umiliki halali wa maeneo hayo
Habari ndio hiyo

source:mdau wa masuala ya rasilimali-ikulu
 
Ardhi yote ni mali ya serikali,na hiyo serikali makao yake makuu ni ikulu! kuna tatizo gani na visipokuwa na hatimiliki nini kitatokea?
 
Back
Top Bottom