Viwanja vya bei rahisi Dar

changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
Habari

Mwenye kujua haya mambo ya viwanja dar, katika jiji la dar ni sehemu gani naweza pata kiwanja kizuri kama ekari 2 hivi kwa bei rahisi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi. Mitaa kama Mbezi luis, mbezi beach kunduchi au tegeta ni poa zaidi.
 
Habari

Mwenye kujua haya mambo ya viwanja dar, katika jiji la dar ni sehemu gani naweza pata kiwanja kizuri kama ekari 2 hivi kwa bei rahisi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi. Mitaa kama Mbezi luis, mbezi beach, kunduchi au tegeta ni poa zaidi.

Mkuu bei rahisi waweza kupata katika hiyo blue lakini hizo nyekundu ekari 2 inabidi uwe na angalau bilioni 1.
 
Habari

Mwenye kujua haya mambo ya viwanja dar, katika jiji la dar ni sehemu gani naweza pata kiwanja kizuri kama ekari 2 hivi kwa bei rahisi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi. Mitaa kama Mbezi luis, mbezi beach kunduchi au tegeta ni poa zaidi.

Kiwanja Hekari Mbili??? Hilo si shamba? Jipange tena kama unataka heka mbili inabidi uwapige mtama watu hapo mtaani kwahyo andaaa kama mil200 hivi maana tuna-assume unawaamisha watu kama 10 wenye viwanja vya sqm 550 @ 20mils
 
Aweza kwenda Chekeni Mwasonga kigamboni wawezapata eka mbili kwa milioni mbili. Advantage moja kule jirani yako atakuwa George Bush aliyeuziwa Kigamboni yote
 
Mkuuu nakushauri uende kibaa kwa matiasi ndio kunamashamba dar uwezi pata kiwanja eka 2
 
Kuna sababu gani inayofanya kibaa hicho kiwa na umaarufu wa kuweza kupata dili za mashamba, je, ni sehemu inayotembelewa na madalali wa mashamba zaidi? Na vile vile kibaa chenyewe kiko maeneo yapi ya jiji?
 
Dah! kumbe viwanja vimepanda bei hivyo? si mchezo! Nasikia kuna viwanja 20000 vinapimwa na serikali, ila sijui ni maeneo gani, hivyo kuna mtu mwenye habari navyo? Kweli bongo maisha yamekuwa ghali! Nadhani dili ni kumvizia mtu aliyefilisika au mwenye madeni anadaiwa na mahakama unaweza pata viwanja bei rahisi kwa maeneo kama kunduchi na tegeta. Nahitaji viwanja maeneo hayo niliyoyataja hapo juu maana mimi nafanya kazi mitaa ya mbezi beach
 
hayo maeneo ya Mbezi beach na kunduchi beach kupata kiwanja cha heka moja sahau labda kama unapesa za kutosha ununue makazi ya watu alafu uitafute hiyo heka moja.

Ningekushauri utafute maeneo ya mbezi luis, au Madala, pia kuna jamaa alikuwa na eneo anauza linaweza kufika heka moja maeneo ya bunju karibu kabisa na viwanja vilivyopimwa na serikali ni eneo zuri sana sijui kama bado lipo au laa.
 
Kuna sababu gani inayofanya kibaa hicho kiwa na umaarufu wa kuweza kupata dili za mashamba, je, ni sehemu inayotembelewa na madalali wa mashamba zaidi? Na vile vile kibaa chenyewe kiko maeneo yapi ya jiji?
Kina wateja wengi na Bia zake ni tamu kuliko za Vibaa vingine!!
 
Kuna sababu gani inayofanya kibaa hicho kiwa na umaarufu wa kuweza kupata dili za mashamba, je, ni sehemu inayotembelewa na madalali wa mashamba zaidi? Na vile vile kibaa chenyewe kiko maeneo yapi ya jiji?

Nilikuwa napita tu, nikaona nikusabahi Mkuu. Hongera kwa kupambana na wachafuzi wa lugha.
 
Dah! kumbe viwanja vimepanda bei hivyo? si mchezo! Nasikia kuna viwanja 20000 vinapimwa na serikali, ila sijui ni maeneo gani, hivyo kuna mtu mwenye habari navyo? Kweli bongo maisha yamekuwa ghali! Nadhani dili ni kumvizia mtu aliyefilisika au mwenye madeni anadaiwa na mahakama unaweza pata viwanja bei rahisi kwa maeneo kama kunduchi na tegeta. Nahitaji viwanja maeneo hayo niliyoyataja hapo juu maana mimi nafanya kazi mitaa ya mbezi beach
viwanja vya serikali vilipata wateja wengi sana hadi wakaghairi kuuza
 
Dah! kumbe viwanja vimepanda bei hivyo? si mchezo! Nasikia kuna viwanja 20000 vinapimwa na serikali, ila sijui ni maeneo gani, hivyo kuna mtu mwenye habari navyo? Kweli bongo maisha yamekuwa ghali! Nadhani dili ni kumvizia mtu aliyefilisika au mwenye madeni anadaiwa na mahakama unaweza pata viwanja bei rahisi kwa maeneo kama kunduchi na tegeta. Nahitaji viwanja maeneo hayo niliyoyataja hapo juu maana mimi nafanya kazi mitaa ya mbezi beach

Bei rahisi uliyokusudia wewe ni kuanzia shilingi ngapi na ghali sana ni shilingi ngapi, nikijua hapo nitakutafutia kiwanja maeneo unayotaka.
 
mkuu heka 2 utapata maeneo ya tegeta mivumoni nitafute kwa 0714 107 215

Anaglia sana eneo hilo ni hatari juzi juzi tu hapa watu walilizwa vibaya sana. Waliuziwa waliuza wakasepa, mkuu wa wilaya akaja na askari wakavunja nyumba za wahusika eti ni wavamizi
 
Viwanja vipo tena ni vingi....kuna sehemu vinauzwa kila sqm moja ni Tshs 8000/= bei ya serikali na vimepimwa ni PM
 
From experiance mwaka 2008 kiwanja mbezi beach karibu na bahari sq m 3500 dollar 194000 sijui leo itakuwa bei ngapi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom