Viwanja viwanja viwanja changamkaa!!!!!!!

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292

VIWANJA VINAUZWA.

  • A%20S%20shade.gif


Viwanja vinauzwa , eka moja na ¾ eka , viko Njia Panda , Chekereni, Moshi, Kilimanjaro,Tanzania.Kilometer moja kutoka barabara inayokwenda Himo/Rombo/Holili Kenya . Viko pembeni [30 metres]
mwa bara bara kuu ya Dar es salaam/Tanga/Arusha. Vimekwishapimwa na vinafaa kwa makazi,biashara,hospital, petrol station, au shule. Maji ya bomba na umeme vimekwishaingia. Wahi mapema,
maeneo yenyewe yanakua kasi kutokana na upanuzi wa maandalizi ya jiji la Moshi.
Bei= 15-20M
Simu; 0754-466824

PLOTS FOR SALE.
Surveyed plots for sale , one acre and ¾ acre. Situated at Njia Panda, Chekereni Moshi Kilimanjaro .One km. from Himo/Holili/Rombo tarmac and [30 metres] off Dar es salaam/Tanga/Arusha highway. Power and water are available. Ideal for residential, hospital,schools, or business.
The area is experiencing great growth due to expansion of Moshi town.
Price=15-20M.
Call; 0754-466824
 
15m kwa robo tatu na 20m kwa hekari moja.

Wachagga kwa bei za ardhi mtatumaliza. Hata huku mjini wachagga ndiyo wamepandisha bei za ardhi maana wananunua kwa kasi mno. Du wachagga nyie, tuwabadilishe majina tuwaite ardhi.
 
Wachagga kwa bei za ardhi mtatumaliza. Hata huku mjini wachagga ndiyo wamepandisha bei za ardhi maana wananunua kwa kasi mno. Du wachagga nyie, tuwabadilishe majina tuwaite ardhi.

umefanya mis-take kidogo but cha msingi piga kazi mambo yote yatakunyookea.
 
umefanya mis-take kidogo but cha msingi piga kazi mambo yote yatakunyookea.

Kweli mkuu, mimi marafiki zangu wengi ni wachagga, huwezi amini. Na ninakubali hali niliyo nayo kwa sasa ni baada ya kuzifanyia kazi changamoto kwa kujifunza toka kwa wachagga. Ukipiga kazi mambo ni poa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom