viwanja vinauzwa

Mtotigite

Member
Aug 11, 2009
40
3
Viwanja vinne vinauzwa vimeunganishwa pamoja viko mbezi makabe kilomita 7 from main morogoro road kila kimoja kina ukubwa 22x25meter bei ya kila kimoja 2.5M unaweza nunua vyote kwa pamoja au ukanunua kimoja havina hati vina mkataba wa kuandikishana serikali ya kijiji kama unahitaji tuwasiliane kwa namba hizi za simu,changamkia dili si unajua stand ya mabasi inahamia mbezi mwisho next year.
 
Namba zipi za simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom