Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa mivumoni-kwa kandoro

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kidogo chetu, Feb 8, 2010.

 1. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Viwanja vya ukubwa wa 30 x30 vinauzwa bei 4.5m kama kawaida maongezi yapo
  viko barabarani kabisa

  haya changamkeni
  tel 0713 240967
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 27,509
  Likes Received: 1,343
  Trophy Points: 113
  vimepimwa? hope unanipata kuwa namaanisha nini.
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Vimepimwa nyaraka bado hazijatoka
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 18,733
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 113
  Ninacho cha 35x55 hukohuko mivumoni kina hati na ada/kodi zote zimelipwa mpaka 2009 leteni offers
   
 5. L

  LadySwa Senior Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  kumbe mivumoni iko wapi pale dar?
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,549
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mivumoni ni kule juu ya tegeta-teta kupita kidogo uwanja wa mpira wa panga kama unaelekea madale! walikuwa wanapima viwanja ila sijui kama hilo zoezi limemalizika!
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 18,733
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 113
  Toka 2003
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,969
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe hiki unaanzia ngapi?
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 18,733
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 113
  Sold out already
   
 10. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Baada ya wazo kama unaelekea madale kwa kawawa , unaacha njia ya madale unakunja kushoto mara tu ufikapo njia panda ya madale
   
 11. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 655
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Mkuu nimekupigia hupokei au vimeisha?
   
 12. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 36
  bei ganii
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,074
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Vimepimwa rasmi (vina Hati miliki) au ni makadirio?...wapi hiyo mivumoni?
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,252
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 48
  hahaaa kumbe kaka wewe ni jirani yangu kule.....tupeane lifti bana kuja pale china town kupiga kitimoto na taska baridiiiiiiiii
   
 15. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 2,358
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 63
  nyie mnataka hati za nini?...nchi yote hii haina hati nyie mpewe hati za kufanyia nini??...kama mnataka kununua nunueni..jengeni serikali ikija kubomoa mnalipwa millioni tatu kama wenzenu wa kipawa na kurasini maisha yanaendelea....
   
 16. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38

  Umenifurahisha sana!! Nchi hii......Inawezekana hata magogoni hapajapimwa!
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,074
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Hayo kaka ndo maeneo ya wenye inji bana, apime nani na kwa nini?... Mkulu yupo hapo na Wizara ya Mipango mizi na vizizi ni hapo hapo, Mahakama kulu na Rufani, Banki Kulu na Wizara ya Mambo ya "Out na ushirikina kimataifa " ni hapo, Wavutia "uhamishaji rasilimali za taifa (TIC); Wizara ya Fwezeha na Buuunge la jam huuri ya mungano, Mwana Shaaria Mkulu pia ni hapo hapo, mpaka wakubwa wa Mageresa ya inji nzima na Wizara ya Utumiskishaji wa umma wapo hapo sasa unataka papimwe iweje?....

  Kuna ule mradi wa Ardhi, hawa jamaa wa ardhi walijiuzia viwanja kwa laki sita sita wakaenda kubabua kwa milioni tatu tatu, isiwe na huko Mivumoni ndo same buzy?.
   
 18. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Samahani mkuu nilikuwa naongea na cm nyingine labda

  bado vipo ndugu yangu
   
 19. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  walikuja wakasavei na kuweka bicon na nondo imebaki njoo kesho huko municipal
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,815
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36

  Mkulu hata uhakika huna?? au ndo walewale????????:confused:
   

Share This Page