Viwanja vinauzwa mbezi,tegeta na kibamba

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Viwanja viwili vipo mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi zone ukubwa vyote ni 30 kwa 30 vyote viko barabarani umbali ni nusu km toka moro road. Bei inaanzia m9 bt hicho kingine kimejengwa nyumba ya vyumba 3 viwili vimekamilika.tegeta (wazo)ukubwa eka kasoro bei 12m kipo barabarani.kibamba ukubwa 30kwa30 bei 6ml maelewano yapo gari inafika umbali ni 1.5km tka moro road na ni eneo la mji mpya panapohamishiwa muhimbili hospital. MAWASILIANO.0714812375 OR 0683361475 OR 0784562131.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom