Viwanja vinauzwa mbezi luis 3.5m

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
279
35
viwanja vinauzwa mbezi luis bei mil 3.5
viko kilomita 3 kutoka morogoro road.
(piga 0715055577 0769055577)
 
njia ya goba? unafika shule ya msingi luis au kwa mama katunzi? ukubwa wa viwanja size gani?
 
Kaka ungeeleza vina ukubwa kiasi gani na nitafikaje kuviona na siku zipi?
Asante
 
Kwa vile siku hizi kiwanja square metre moja ni Tshs 10,000 basi size itakuwa 3,500,000/10,000=350sqm
 
Nyumba inauzwa Mbezi Luis kilomita moja kutoka Morogoro rd. Nyumba ni ya kumalizia sakafu, ceiling board na kuweka umeme nguzo iko nje.bei milion 30.
 
Nyumba inauzwa Mbezi Luis kilomita moja kutoka Morogoro rd. Nyumba ni ya kumalizia sakafu, ceiling board na kuweka umeme nguzo iko nje.bei milion 30.

Mkuu anzisha uzi wako, ili watu waone. Uwanja wa nyumba ni ukoje? ukubwa wa nyumba
 
Mkuu anzisha uzi wako, ili watu waone. Uwanja wa nyumba ni ukoje? ukubwa wa nyumba

Nyumba imemaliza kiwanja, huwezi kujenga nyumba nyingine.Nyumba ina vyumba vitani,sitting,dinning,store,jiko na store.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom