Viwanja Vinauzwa-Mbezi Juu.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Vipo Mbezi juu km 4 kutoka Bagamoyo Road. Size 20 x 20 kwa shs 7.5mil au 40 x 20 kwa shs 15mil. Havina Hati miliki certificate of occupancy. Utauziwa chini ya usimamizi wa serikali ya mtaa. Vipo nane. wahi mapema kabla havijaisha au barabara ya kwenda Bagamoyo haijapanuliwa. Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0784225000 au tembelea Property & Real Estate Tanzania
 

Attachments

  • DSC06739.JPG
    DSC06739.JPG
    62.3 KB · Views: 80
  • DSC06740.JPG
    DSC06740.JPG
    62 KB · Views: 85
  • DSC06741.jpg
    DSC06741.jpg
    40.5 KB · Views: 66
Kitomai na wewe bwana! Mbona bei tofauti na kule ulikosema tutembelee? Au ndio mambo ya cha juu nini, poa lakini nitakutwangia
 
Bei haipo juu kiivyo. Ipo fair sana. Mimi nina taswira ya maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam. Hilo eneo ni zuri sana. Tembea njoo ujionee mwenyewe, Pamoja na bustsni ya miti mikomavu.
 
Nitwangie usichelwe. Tayari watu wanatwanga na kuomba appointment.
 
... wahi mapema kabla havijaisha au barabara ya kwenda Bagamoyo haijapanuliwa.
yani tuwahi kabla barabara haijapanuliwa, are you out of your mind?

kwa maneno mengine, viwanja viko kwenye hifadhi ya barabara!

wewe real estate agent kweli au dalali wale wanaokaa chini ya miembe na simu za ku beep?
 
Sasa Barabara ikijengwa ndio tupitiwe au sijaelewa hapo
Nafikiri anamaanisha barabara ikijengwa vitapanda bei maradufu! So its better kuwahi kable ya barabara haijakamilika wabongo wengi watavimind na hivyo bei kupaa mbinguni ghafla
 
Back
Top Bottom