Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

Hello,tunaomba kujua kama una taarifa za viwanja au kiwanja Kitopeni Bagamoyo kwa bei hiyo ya Tshs.6000-7500 per square meter au hata pungufu ya 12,000/= per square meter.Tafadhali tujulishe haraka tutavinunua vyote na hata kama ni kimoja!!!!

Ili uje 'uwapige' raia kwa 12,000/sq.m?
 
hivi viwanja ni vya halmashauri ya bagamoyo au vya mtu binafsi? pia hata mimi sielewi vipimo hivyo, naomba njulishwe kwa robo eka, nusu eka etc
 
Maana yangu ni kwamba hakuna kiwanja cha Tshs 6000-7500 per square meter Kitopeni.Kwa taarifa yako Tshs 12,000/= ni bei ya kutupa.Unaandika vitu usivyojua na bila kufanya utafiti.Ina maana hao raia unawasemea wao hawana akili, ni watoto?Je,ni wewe uliwasaidia kutafuta hiyo pesa.Elewa Watanzania wanajua thamani ya ardhi na hivi tunaongea viwanja karibia vinaisha.Pole sana Ndugu yangu!!!!!
 
Haki, ningekuwa na mushiko ningejibebea lijikiwanja huko. Mitaa hiyo inakuja kuwa deal la maana kwani kunawekwa Special Economic Zone huko. baada ya miaka kumi na tano ijayo, Bagamoyo itakuwa untouchable aisee, wakati ni sasa.
 
TUPATUIE NA SITE PLAN KAMA HII NA VIWANJA AMABAVYO BADO VIKO (HAVIJA UZWA!)

site-plan-3.jpg
 
Aiseeee baba yangu mbona nilisikia bagamoyoo yote atapewa jei kei kama zawadi ya kustafu
ili afanye kilimo cha mananasi

mbege ya leo kweli si mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom