Viwanja vinauzwa Gezaulole Kigamboni na Luguruni kwa Kolimba

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
563
468
Ninauza viwanja, cha kwanza kipo Kigamboni, Gezaulole, kina ukubwa wa 1300 Square Metres, kina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa, bei yake ni 17,000,000/= Cha pili kipo Mbezi, Luguruni, kwa Kolimba, kina ukubwa wa 2100 Square Metres, kina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa, bei yake ni 15,000,000/= kwa wenye kuhitaji maelezo ya ziada wanaweza nicheck kwa 0715555512
 
Gezaulole kuna viwanja vya mradi wa manispaa ya temeke,
We chako kiko Gezaulole ya wapi?
Pili pale kuna wenyeji wenye "vocha" za hivyo vilivyopimwa ambapo cha ukubwa wa Sqm 900 unapata kwa 4.5mil then unaenda kuilipia @ Tzs 6,000/Sqm = Tzs 5.4Mil serikalini,
Jumla 9.9Mil unamiliki kiwanja kilichopimwa,
Hicho chako cha wapi ndugu?
Kwanza kigamboni kuna order ya serikali ya kutouza eneo lolote lisilopimwa
 
Shark, unataka kiwanja nipigie cmu, km unataka siasa basi tafuta thread za siasa na malumbano ukabishane huko! Cna muda wa kukushawishi, mi c mpiga porojo!
 
Mbona unakua mkali?
Biashara haiendi namna hiyo.
Jibu hoja kwa hoja uhalalishe kiwanja chako watu wanunue.
Nisichohitaji ni kuuziana mbuzi kwenye gunia,
Mtu atanunuaje kiwanja juu juu tu namna hiyo bila kwanza kujiaminisha uhalali wake?
Hiyo Serikali ya kijiji iliyokuuzia inayo master plan ya mji wa kigamboni ku-justify kua mradi wa serikali hautapita huko kwenu?
Upande wa bei nisiusemee sana, but umei-inflate mno kwa kweli.
 
shark huna hela piga kimya, acha wivu wa kike* ameinflate price ukicompare na nani? Au hujui 2po kwmenye market economy system? 2ache wenye nazo 2nunue alaa kujifanya mjuaji mwenyewe
 
shark huna hela piga kimya, acha wivu wa kike* ameinflate price ukicompare na nani? Au hujui 2po kwmenye market economy system? 2ache wenye nazo 2nunue alaa kujifanya mjuaji mwenyewe

Ha ha ha ha!!!
By the way, zile nusu eka zako za 5Mil each kule Kongowe zishaenda zote??
Naona una jeuri ya kujiita "mwenye nazo".
Nina kiwanja Kibada, na nimeshalipia Vocha Gezaulole so nazijua bei za viwanja Kigamboni Mamdogo.
Bei anayouza kwa Gezaulole + Hakijapimwa ni inflation tosha!!!
 
shark huna hela piga kimya, acha wivu wa kike* ameinflate price ukicompare na nani? Au hujui 2po kwmenye market economy system? 2ache wenye nazo 2nunue alaa kujifanya mjuaji mwenyewe

Beware Sehemu zote ni hatari tupu. Mbezi kwa Kolimba nako si salama watu wengi wamelizwa vibaya sana. Kuna mradi wa Mji wa Luguruni na pia chuo kikuu cha Muhimbili . Ndo maana anatumia mbezi kwa Kolimba siku za nyuma walitumia ujanja wa bei ndogo say 5M. watu wakasttuka beware wana wajumbe wao na kila kitu.
 
Jamani mi nadhani uhalali au kuthibitishwa kwa viwanja hivyo c tatizo, upo serious na kununua check nami nikupe undani wa yote hayo. Hakuna kiwanja chenye ujanja ujanja wala kilicho kwny hatari ya kuzuiwa na serikali. Kigamboni kuna stop order ya ujenzi ila ukienda wizara ya ardhi wakuu wenyewe wanakwambia nyumba itakayokidhi mahitaji ya mradi itakuwa considered, Shark, jaribu kupita huko Kibada na Gezaulole utazame "wenye nazo" wanachokifanya. Ngonjera ya mradi hata Anna Tibaijuka hana majibu ya kuwaeleza wana Kigamboni, so km nawe ni "mwny nazo" km wenzio kaangushe banda lako tu! Kuhusu bei nadhani unasahau km "inflation rate" ya Tz ipo 16.8 mpk jana, na dola ni 1,720 kwa change ya leo. Jipange mkuu, soko huria, land value appreciation na mahitaji yangu binafsi ndo bases za bei ya viwanja vyangu. NB: MI SI DALALI, NI MMILIKI HALALI WA ARDHI HIYO NA NIMEFATA TARATIBU ZOTE ZA UMILIKI KWA NGAZI YA SERIKALI YA MTAA!
 
Mama Cha, nashukuru kwa angalizo, mnunuzi atapiga simu, Shark anataka kuleta udalali wa kizamani! Ashindwe kwa jina lake la papa!
 
Nyati, mradi wa Makazi wa Luguruni upo kwny hatua ya tathmini na hauna athari yoyote kwa wamiliki, mradi wa chuo kikuu cha Muhimbili upo Kwembe, na bahati nzuri nimeushuhudia mchakato kwa karibu zaidi mpk hatua za mwisho za kuwalipa fidia wakazi wa maeneo yatakayoingia kwny umiliki wa Muhimbili! Kwa hy Nyati usihofu, kiwanja changu kipo karibu na makazi ya Mwenyekiti wa CCM Mzee Mbonde, karibu sn!
 
.....,
Shark anataka kuleta udalali wa kizamani! Ashindwe kwa jina lake la papa!

Duh, udalali wa nini tena?
Mimi ni mkaazi mtarajiwa wa Kigamboni nikiwa naangusha na mimi Bangaloo langu Kibada kulikopimwa.
Anway, Biashara ni huria, wenye kutaka kuja kwako watakuja tu.
Kwenye biashara pia kuna watu wanaoitwa "Risk Taker",
Wao wapo tayari hata kununua open space wakapambane na serikali mradi wameipenda hiyo sehemu,
Utawapata tu.
Alamsiki!!!!!!!
 
Angalizo,hivyo viwanja ulimilikishwa/kununua lini
1-cha geza
2-Cha kwembe/kolimba

Ninamiliki heka kadhaa kigamboni.ukivuka Geza 5km.na bei za geza ni around 5 to 8 Mil/Acre.na ukifika mbele dege au mwembe mdogo ni around 2mil per Acre.
ni Angalizo Tu(Price Guideline) pamoja na kuwa na soko huria
 
Ha ha ha ha!!!
By the way, zile nusu eka zako za 5Mil each kule Kongowe zishaenda zote??
Naona una jeuri ya kujiita "mwenye nazo".
Nina kiwanja Kibada, na nimeshalipia Vocha Gezaulole so nazijua bei za viwanja Kigamboni Mamdogo.
Bei anayouza kwa Gezaulole + Hakijapimwa ni inflation tosha!!!

unaona unavyokurupuka shark? Ckuwahi kuwa na viwanja kongowe jaribu kuwa greater thinker. Jeuri ninayo kwa kua ninamiliki mjengo blobk 6 toangoma na nimeipata kiuhalali na biashara yangu ya kuuza viwanja geniune acha kukwem maisha kijana kuwa mwanaume ingawa mimi ni woman and a half na kwa taarifa yako viwanja vyangu vya lugwadu vimeisha nikukopeshe?
 
Kwangu Tuangoma haina tofauti na Kongowe!
Anyway, sio point sana.
Suala ni kua Mwenzio anauza ghali sana.
We unauza nusu heka isiyipimwa kwa 5mil,
Ye anauza sqm zisizipimwa hizo kwa bei hiyo aliyoitaja.
Kwa sisi wenye pilika huko, bei tunazijua,
Aache utapeli.
Kwa jina lake la kiislamu kama kweli ni mshika dini aende akasome Suratul Mutwafifiyna
 
Asante Shark kwa taarifa. Tuzuie kwa nguvu zote watu wanaotumia jukwaa hili kutapeli watu na hawataki kuasikia ukweli ukisemwa. This is a forum where we dare to talk openly

Gezaulole kuna viwanja vya mradi wa manispaa ya temeke,
We chako kiko Gezaulole ya wapi?
Pili pale kuna wenyeji wenye "vocha" za hivyo vilivyopimwa ambapo cha ukubwa wa Sqm 900 unapata kwa 4.5mil then unaenda kuilipia @ Tzs 6,000/Sqm = Tzs 5.4Mil serikalini,
Jumla 9.9Mil unamiliki kiwanja kilichopimwa,
Hicho chako cha wapi ndugu?
Kwanza kigamboni kuna order ya serikali ya kutouza eneo lolote lisilopimwa
 
Shark asante kwa taarifa. Tuzuie kwa juhudi zote wanaotumia jukwaa hili kutapeli watu na ukweli unaposemwa wanakuwa wakali kama wamemwagiwa maji ya betri. This is a forum where we dare to talk openly
Gezaulole kuna viwanja vya mradi wa manispaa ya temeke,
We chako kiko Gezaulole ya wapi?
Pili pale kuna wenyeji wenye "vocha" za hivyo vilivyopimwa ambapo cha ukubwa wa Sqm 900 unapata kwa 4.5mil then unaenda kuilipia @ Tzs 6,000/Sqm = Tzs 5.4Mil serikalini,
Jumla 9.9Mil unamiliki kiwanja kilichopimwa,
Hicho chako cha wapi ndugu?
Kwanza kigamboni kuna order ya serikali ya kutouza eneo lolote lisilopimwa
 
Ninauza viwanja, cha kwanza kipo Kigamboni, Gezaulole, kina ukubwa wa 1300 Square Metres, kina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa, bei yake ni 17,000,000/= Cha pili kipo Mbezi, Luguruni, kwa Kolimba, kina ukubwa wa 2100 Square Metres, kina hati ya umiliki ya serikali ya mtaa, bei yake ni 15,000,000/= kwa wenye kuhitaji maelezo ya ziada wanaweza nicheck kwa 0715555512
wizi.... wananunua vocha kwa elfu ishirini, wanalangua

napinga....sana ulanguzi huu
 
Reasoning na MTM, umetapeliwa/umelanguliwa nini nawe hata biashara haujafanya?! Km huwezi kufika dau tuliza munkali wenye vijisenti ndo waongee nami! Mmezoea vya kunyonga! Kwa ufupi ni kwamba nyie ni wapiga kelele, wenzenu wanunuzi wameshanipigia cmu!
 
Back
Top Bottom