Viwanja Ubungo External vinauzwa

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
Ndugu wana JF.....

Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....

kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit

ni hayo tu
 
Dar Mna bahati sana. Huku Arusha 20Mx15M = 300 S.M unaweza ambiwa 10 million. Mshindwe wenyewe kujenga
 
Ndugu wana JF.....

Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....

kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit

ni hayo tu

Mkuu toa maelezo ya kutosha, unaingilia wapi na kuna umbali gani toka Mandela Road.
 
Kibada ni 15m, Ukubwa 30m kwa 20m - Wizara ya Ardhi watatuua, yaani wamegoma kupima viwanja Dar ili wauze vya kwao kwanza. Kweli kufa kufaana. huna hela jenga hovyo then waje kubomoa.
 
ukiwa unatoka mabibo hostel unakata upande wa kulia external...umbali wa kilomita kama 2.5 tokea mandela road
 
bei hiyo ni reasonable kabisa tena ya chini kwa kiwanja cha mjini jamani.

Mkuu ardhi haijafika thamani hiyo, - Nawashauri watu watoke nje ya mji lets say 40km off town, unapapta eneo kubwaa unalipimisha na unakaa kwa amani. Watu wanjanja hawakai wamebanana mjini kutafuta nini?

Hizo 15m unapata heka moja na unafanya survey na change inabaki - weka solar na maji - baaada ya miaka 5 tu utapata majirani.

Njooni Kimbiji mjiunge na mimi.
 
ndugu wana jf.....

Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....

Kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (ubungo external) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit

ni hayo tu

mimi huwa sielewi hivyo vipimo jamani........ Ndio heka ngapi hiyo????
 
Mkuu ELNINO....

Thamani ya ardhi inapungua kadri unapotoka nje ya mji....ndio mana oysterbay sasa huwezi pata kiwanja bila kuwa na at least USD 1million....

hii ni kwa wale wanaopenda kukaa karibu na mjini na wanaojua dhamani ya ardhi na umuhimu wake, sio lazima ununue na ujenge nyumba ya kukaa wewe unaweza nunua na kujenga jengo la biashara pia...
 
heka (Acre) moja ni sawa na mita za mraba 4047....hivyo nita za mraba 1000 ni sawa na 50m x 20m = 100m2..

karibu
 
Mkuu ardhi haijafika thamani hiyo, - Nawashauri watu watoke nje ya mji lets say 40km off town, unapapta eneo kubwaa unalipimisha na unakaa kwa amani. Watu wanjanja hawakai wamebanana mjini kutafuta nini?

Hizo 15m unapata heka moja na unafanya survey na change inabaki - weka solar na maji - baaada ya miaka 5 tu utapata majirani.

Njooni Kimbiji mjiunge na mimi.

kimbiji hamna umeme wewe unatumia nini?
kama solar how much did it cost

nina kijisehemu kwenye junction ya kwenda mbutu
 
Ndugu wana JF.....

Wakuu habari za majukumu ya taifa hili letu....

kuna viwanja vitatu vyenye ukubwa wa kuanzia mita za mraba 1000 ila hazifiki 2000m2 ...vipo karibu na jeshi (Ubungo External) na kila mita 1 ya mraba ni shilingi za kitanzania 8500, vipo kwenye hatua ya upimaji hivyo kwa yeyote anayehitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0713 348165...for visit

ni hayo tu

hii kambi haina mabomu? :focus: mkuu 2.5km kutoka mandela road!! imekuwaje hivyo viwanja viko wazi mpaka sasa?
 
heka (Acre) moja ni sawa na mita za mraba 4047....hivyo nita za mraba 1000 ni sawa na 50m x 20m = 100m2..

JESUS HESABU HIYO.
 
Tatizo la hawa jamaa ni umajununi wao, mwaka juzi walifunga njia/barabara inayopita kwao kuelekea kisukulu kupitia maji chumvi kisa mjeshi kaibiwa kuku, baadae wakafungua, halafu wakafunga tena kwa sababu ndugu wa mwanajeshi kagongwa. Siku moja ulipita mkong`oto eneo lote lile kwa vijana kwa sababu mjeshi kapoteza buti. Kuwa makini,ila viwanja vya mitaa ile ni vizuri. Shida ni hao wajuba.
 
kwa hali hii inabidi mkuu apunguze bei maana kulipa hela nyingi huku ukijua iko siku utatandikwa viboko kisa mtu kapoteza mbuti wake kwenye ulevi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom