Viwanja na mashamba yanauzwa bei rahisi

mamabaraka

Member
Oct 18, 2011
92
14
Vipo Chanika, viwanja miguu 35 kwa 25 milioni mbili. Mashamba hekari moja milioni mbili. Viwanja viko sehemu nzuri kuna mchanga mweupe palepale. Yaani hununui mchanga. Na mashamba ni udongo mwekundu wenye rutuba. Unastawisha mahindi, mihongo na matunda aina zote. Mwenye kuhitaji anipm tuongee.
 
Achana Na biashara ya miguu, kwanza miguu inatofautiana kati ya mtu na mtu,
ukivipima kwa meta ni ukubwa gani????
 
Hebu tueleze mkubwa huko mashaka ni wapi? Tunakuhitaji sana huko mkubwa! Usikute ni Mlimba kijijini.
 
Ni viwanja na mashamba kwa anayehitaji yapo Chanika kijiji kinaitwa Homboza ni mwendo wa kama km 8 kutoka chanika center, kwa sababu mi sio dalali nami nimepata huko. Anaekubaliana na umbali atembelee huko. Pia bei inapoa na wanakijiji ni wakarimu sana.
 
Back
Top Bottom