Viwanja na mashamba vinauzwa bei chee

Viwanja na mashamba vinauzwa bei poa kabisa. Maeneo ya VIKINDU, mkoa wa PWANI. Mawasiliano rahisi ni 0653422776.

Kuepuka simu zisizo mpango,usumbuke bure,bora ueke bei na ukubwa wa eneo ikibidi ndugu yangu.Pwan kwa upande uohuo wa vkndu na mkuranga?
 
PROF acha uzamani huo, nenda na wakati, weka maelezo ya kutosha ikiwemo Eneo lenyewe, ukubwa, na bei. Ikiwezekana azima kamera uweke na picha.
 
Mawazo yenu ni mazuri, ila viwanja ni vikubwa mno. Hivyo tunapima ukubwa wa kiwanja unaotaka, kisha tunaelewana bei kutokana na eneo ulilojikatia.
 
Mawazo yenu ni mazuri, ila viwanja ni vikubwa mno. Hivyo tunapima ukubwa wa kiwanja unaotaka, kisha tunaelewana bei kutokana na ukubwa wa eneo ulilojikatia.
 
Vipo karibu na barabara ya Kilwa?

Umeme upo umbali gani?

Ekari kumi zinapatikana?
 
Watz bwana unataka uonekane upo biz kwa watu kukupigia cm weka bei mizunguko yanini
 
Mkuu,bei ya mwisho kbs kwa eneo la kuweka nyumba ndogo complete na parking ni kama ngap hv minimum?if u feel uncomfortable just PM me
 
Haya basi, bei ya mwisho kwa maelezo yako ni milioni 1.5. Kuwa na uhuru wa kuongea kuhusu bei.

hujasema ukubwa wa kiwanja unang'ang'ania bei.....na mkumbuke kuacha barabara dio mnauza kama mbagala walivyofanya....... Miguu 20*30 unauzaje? Vikindu kijiji/kitongoji gani?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom