Viwanja mbezi luis vinauzwa vya bei nafuu sana....

jamii ebu rekebisheni hii style eti kusoma tangazo hadi utoe comment ndio uone jamaa kaelezea nn sijaipenda binafsi
 
VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 22*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
 
sema mbezi luis wapi? tunajua watu mnachanganyaga sana maeneo hatuwaamini hadi useme exactly labda karibu na shule flani, au masjid flani au kanisa flani etc
 
Nahitaji mita 22*30/25*25/25*30,kama vipo nifeedback
 
wakuu, havijapimwa .
Viko kilomita 3 kutoka morogoro road unaingia upande wa kulia ukitokea mjini kabla ya kituo cha daladala
cha mbezi mwisho.
barabara ya mbezi luis- Goba - mbezi beach(tangibovu)
 
VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 23*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
 
VIWANJA VINAUZWA MBEZI LUIS Mita 23*22 2.5 Mil., Mita 22*40 5Mil.
UMEME UPO (Kwa taarifa zaidi piga 0715055577).
 
viko 2.5km tu kutoka morogoro road upande wa kulia ukitokea mjini
(barabara ya mbezi mwisho - Goba - Tangi bovu,Mbezi beach) kabla ya stend ya mbezi mwisho....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom