Plot4Sale Viwanja Kigamboni

Viwanja bado vinapatikana eneo hilo? nahitaji chenye ukubwa wa 1000 sqm
 
Kuna square meter 955 na 1200 na 2000 na 3000 na 4990 kila square meter moja ni tsh 14,000 tu. Pia kuna square meter 803 kwa tsh 17,000.
Eneo ni Katikati ya Mwongozo nyuma ya utumishi housing na Dege kilometer 18 toka Ferry.

Visivyo pimwa ni kuanzia 25 kwa 25 bei nikuanzia million 3.5 nakuendelea Maeneo Mwongozo, Dege, Mbutu, Mwembe mdogo ukooni, coco palm. Msingi wa Bei ni Maelewano kwa visivyo pimwa.

Mawasiliano 0746224769
Hivi viwanja havipo katika eneo lile la plan ya huo mji mpya? Si watu waliambiwa wasiendelee kujenga?
 
Serikali inahamia dodoma so viwanja dar vitakuwa bei rahisi kidogo let me wait. Na ukitaka kuwekeza kwenye ardhi kwa sasa wekeza dodoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom