Taja bei na ukubwa sio tupoteze muda wa kucal

Haya wakuu., 400sq meters., for a single plot na ni almost mita mia tatu from bagamoyo road.,6m per plot
sure. kuna dalali alinipeleka seemu unapanda gari unashuka unapanda pkpk unamalizia na punda (maana ht pkpk hazifik)

Ellie: Hivi Eneo la Boko along Bagamoyo road unaweza kupata plot wazi ambayo ipo umbali wa mita mia tatu kutoka Barabarani?