viwanja arusha(lakilaki)

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
wana jf kwa wenye kuhitaji viwanja arumeru magharibi aende ofisi za halmashauri wameanza kugawa kwa watu mbalimbali kuanzia leo.

price kuanzia mil 10
 
hi ndo Tanzania. halafu tunategemea kumaliza tatizo la miji isiyopangiliwa kwa kuuza maeneo kwa bei ya juu namna hiyo
 
kuna mfanyakazi wa serikali,mkulima au muuza maziwa wa arumeru anaweza kulipia hiko kiwanja?
 
lakilaki ni eneo karibu na kisongo kuna maeneo halmashauri iliyanunua na kuwagawia /kuwauzia wananchi.
 
wana jf kwa wenye kuhitaji viwanja arumeru magharibi aende ofisi za halmashauri wameanza kugawa kwa watu mbalimbali kuanzia leo.

price kuanzia mil 10

YAANI UNASEMA VIWANJA LAKILAKI mtu anafungua post kusoma umeweka mli10???!!!!! BE SERIOUS
 
Wana JF, kuna tofauti kati ya lakilaki na laki laki. Rudieni kusoma heading kwa umakini.
 
Arusha nayoijua mie, mtu unaliwa hivi hivi..be careful people!!

Kuna sehemu inaitwa lakilaki yalipokuwa mashamba ya kahawa hata mie nimesikia tatizo yatakuwa kama yalivyokuwa upande wa pili waligawiana vigogo watu kibao wakaliwa elfu kumi za fomu
 
lakilaki ni eneo jamani,,, wana jf, majina ya maeneo ya arachuggah samtym yanachekesha,,, ni eneo lililopo mbele ya airport ya arusha, as u r heading to kisongo, on ur right side,,, maeneo ya international school of moshi,, kwa wanaojua!!,,
 
Wana JF ninauza kiwanja maeneo ya Sanawari Enaboishu 17mX20m Pana maji,umeme na barabara pamekwishajengeka vizuri.Bei 7ml.

Nitafuteni kwa namba hii 0754324137.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom