Viwanja 2 vyenye title deed vinauzwa vipo ktk maeneo tofauti

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
kiwanja kimoja kipo Buyuni kina Sqm 988, eneo ni zuri na tulivu sana na kuna ujenzi wa nyumba nyingi nyingi za kisasa unaendelea. uwanja umenyooka hauna bonde hata moja .umepimwa, hati, offer na title deed. bei yake ni Tsh. 18m.
(Buyuni ipo wilaya ya Ilala ni mbele ya chanika)

Kiwanja cha kingine kipo Boko, kina title deed, ukubwa ni Sqm 1400 tayari kuna nyumba ndogo imejengwa yenye vyumba 2. na mtu anaishi tayari kuna maji na umeme. bei yake ni Tsh 80m.

Tuwasiliane: +255 686 200 117, 657 14 5555
 
Wale wanataja viwanja na wale wanataja bei za juu sana, bali mimi nitalitaja jina la Bwana , Mwamba wangu Tegemeo langu. Zab 20: 7
 
Wale wanataja viwanja na wale wanataja bei za juu sana, bali mimi nitalitaja jina la Bwana , Mwamba wangu Tegemeo langu. Zab 20: 7
kaka unaweza wewe ukaona bei kubwa mwingine akaona ya kawaida. hatulingani vipato ndiyo maana hata sehemu tunazopata mahitaji hazifanani, kuna wengine wanakula kwa mama rishe wengine serena hotel. mi binafsi huwa sikatishwi tamaa na bei sababu siku zote penye nia pana njia na huzungumzika.
 
viwanja vina hati zote , viwanja vingi vinaishia na offer hivi vina titile deed. ambayo unaweza weka dhamana benk au tasisi yoyote na ukapata mkopo.
 
kiwanja cha boko kiko karibu na msikiti, hivyo unaweza kuja nunua ukajenga karibu na nyumba hiyo ya ibada. na pia akatokea mtu akanunua na kujenga kanisa itakuwa powa wakazi wa maeneo hayo wanaweza pata nyumba za ibada karibu na maeneo yao.
 
Back
Top Bottom