Viwango vya majengo yanayojengwa dar

chibhitoke

Member
Jun 1, 2010
60
12
Kwa mtazamo wangu nilikuwa nashauri serikali ingepitisha sheria kuwa mtu anayetaka kujenga jengo jipya mjini-posta, kariakoo, upanga lazima jengo hilo liwe angalau na eneo la juu au la chini la maegesho ya magari yasyopungua 30. Hii itasaidia kupunguza msongamano wa magari na pia kufanya majengo yenye akili kujengwa mjini. Majengo ambayo muda wake wa ardhi umekwisha yabolewe na sehemu hizo zibakie kuwa wazi hadi wapatikane wajenzi siriasi kuliko Watu wanavyoendelea kujenga majengo yasiyo na hadhi ya kuwa kwenye jiji.
 
Back
Top Bottom