Viwango vipya vya huduma Uhamiaji

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,683
Hivi karibuni Idara ya Uhamiaji nchini imetoa viwango mbali mbali vipya kwa huduma zake ambazo zitakuwa zinatozwa kuanzia Jualai 1 (sijui kama wameanza),lakini vinaonekana kupanda kwa zaidi ya asili mia moja,kwa mfano Hati ya ukazi daraja B imepanda toka $ 660 mpaka $1,500 na nyingine kwa ongezeko kama hilo.Lengo hasa ni kuongeza mapato,kubana wageni au nini?
 
kuongeza pato la taifa na kupunguza nakisi ya bajeti mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??
usiniambie na ada ya pasi za kusafiria imepanda
 
kuongeza pato la taifa na kupunguza nakisi ya bajeti mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??
usiniambie na ada ya pasi za kusafiria imepanda

Pasi za kusafiria sijaona,inaweza kuwa imepanda 'kimya kimya',si unajua Tz.
 
Back
Top Bottom