Viwanda vya uongo vya JK

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni ukweli kuwa Rais anastahili sifa. Amesema kweli kuwa Tanzania kuna watu wanamiliki viwanda vya uongo.Lakini,hakuwataja. Asingeweza kufanya hivyo.Hawajui DOWANS,Richmond wala wamiliki wa viwanda vya uongo. Lakini wamiliki wa viwanda vya uongo wanajulikana. Ni hawa:

1. Jakaya Mrisho Kikwete-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Mizengo Kayanza Peter Pinda-Waziri Mkuu wa Tanzania

3. Wilson Mukama-Katibu Mkuu wa CCM

4. Nape Nnauye-Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

5. Salva Rweyemamu-Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano-Ikulu

6. Mawaziri wote wa Tanzania

7. Wabunge wote wa CCM

8. Wakuu wote wa Mikoa na Wilaya Tanzania

9. Gazeti la Uhuru na Redio Uhuru za CCM

10. Wote wa hapo juu na mashabiki zao

Hawa ndio waongo na maadui wa maendeleo wa Taifa hili. Afadhali wamejitaja. Viwanda hivi vinatoa ajira lakini? Kwa kiasi gani?
 
Weeekend hioooooooooooo na salary imeisha kabisa, maisha ya kutegemea salary haya jamani, heri nifungue kiwanda cha Oungo na Urongo naona kinalipa hadi kinafagiliwa na Kiranja mkuu
 
Pia taja na wamiliki wa viwanda vya ukweli
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
Sikuamini kama yale maneno (mipasho) yamesemwa na mtu mwenye akili timamu wachilia mbali mkuu wa nchi.

But anyway he's proving himself in many ways to be both unfit and incompetent person and president ever!
 
Dr. Slaa aliposema kumchagua JK na SSM yake ni janga la taifa, wengi hatukumuelewa. Tunaanza kumuelewa kwa gharama kubwa
 
Hii ni single ya kumalizia mwaka. Tanzanian Cheating Industry. inajumlisha wengi akiwemo Kova , Kamuhanda et al.
 
Dr. Slaa aliposema kumchagua JK na SSM yake ni janga la taifa, wengi hatukumuelewa. Tunaanza kumuelewa kwa gharama kubwa
kweli mkuu nafikiri uwezo wa kufikiri wa DR uko mbali sana ukilinganisha na wananchi wa kawaida pamoja na viongozi wetu wa sasa
 
Kastuka dili la madawa yaa kulevya la mwanae kubumburuka na sasa jamii inafahamu nini kinachoendelea
 
Hakuna mtu mwongo katika Jamuri hii kama JK, ahadi zake lukuki zisizotekelezeka ni ushahidi tosha.Hivi kwa nini asianzishe tu kundi lake la taarabu, yuko juu sana kwa mipasho.
 
Alisema wakati anafungua tawi la crdb marangu kuwa 2015 kila mtoto wa shule ya msingi atakuwa na laptop yake shuleni...na nilimnukuu hii...
 
Ni ukweli kuwa Rais anastahili sifa. Amesema kweli kuwa Tanzania kuna watu wanamiliki viwanda vya uongo.Lakini,hakuwataja. Asingeweza kufanya hivyo.Hawajui DOWANS,Richmond wala wamiliki wa viwanda vya uongo. Lakini wamiliki wa viwanda vya uongo wanajulikana. Ni hawa:

1. Jakaya Mrisho Kikwete-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Mizengo Kayanza Peter Pinda-Waziri Mkuu wa Tanzania

3. Wilson Mukama-Katibu Mkuu wa CCM

4. Nape Nnauye-Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM

5. Salva Rweyemamu-Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano-Ikulu

6. Mawaziri wote wa Tanzania

7. Wabunge wote wa CCM

8. Wakuu wote wa Mikoa na Wilaya Tanzania

9. Gazeti la Uhuru na Redio Uhuru za CCM

10. Wote wa hapo juu na mashabiki zao

Hawa ndio waongo na maadui wa maendeleo wa Taifa hili. Afadhali wamejitaja. Viwanda hivi vinatoa ajira lakini? Kwa kiasi gani?

11 geshi la flying object(kitu kinachoruka)
 
JK mwenyewe ni kiwanda namba moja cha uongo. Amezunguka nchi nzima mara 2 (2005 na 2010) akiwaongopea watanzania. Na kila akipata fursa ya kuongopa bado anaongopa tu.
 
dh, mmenifanya kucheka jioni ya leooooooooooooooo, na ukata huuuu! tena alisema viko mia tano (500), kwa orodha hiyo hapo juu vitakuwa havija timia kweli?
 
JK mwenyewe kazunguka Tanzania nzima kwenye kampeni akidanganya!
Kweli huyu ndio atakuwa kiranja mkuu wa hivyo viwanda.
 
Back
Top Bottom