Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

Nothing strange with that. Hata members wanaweza tambulika kama guests ikiwa wanasoma bila kulog-in.

Mkuu Cpt Hadock...
Halisi atakuwa hafahamu hii.....kwi..kwi...kwi..watanzania bwana..

Halisi
user_offline.gif

Halisi is ???????
JF Premium Member
Join Date: Tue Jan 2007
Posts: 1,733
Thanks: 1,686
Thanked 2,227 Times in 674 Posts
Rep Power: 26
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 165,117



Cpt Hadock
user_online.gif

Cpt Hadock has no status.
JF Premium Member
Join Date: Thu Jan 2009
Posts: 46
Thanks: 82
Thanked 27 Times in 23 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 6,873
 
Yah niona inaongea swahili as his first language.........................kaja US akiwa na miaka 11 kutokea bongo.

Kuna mtu anauliza kuwa ikiwa mbongo ndio nini?Ni kwamba inatia moyo kwa wadogo zetu na sisi wenyewe kuwa ukiwa na juhudi unaweza kufanya chochote dunia na kuwa yeyeto bila kujari umetokea wapi.
Watu wengi wanadhani vitu fulani ni kwa watu fulani tu ila mambo kama haya yanatia moyo.
Sintashangaa kusikia Mutu ni mkuu wamajeshi ya Obama! maana katoka Danganyika na kapata bonge la cheo kama hicho:)
 
Mpaka lini wa Tanzania tutaendelea kuwa Naive kinacho sifawa hapa kuwa huyu jamaa aliishi Tz ni sawa na kusema jirani yangu anajumba kubwa lakupendeza unasifia jirani yakoukiwa unaishi ndani ya kijichumba kwenye familia zaidi ya 5 au baadhi yenu mnasema eti tunawatz wengi wenye vipaji vikubwa sasa jiulizeni wapo wapi?? kama wao wanahisia kama zenu kwanini leo hii wasiseme wakati umefika elimu na ujuzi tulionao tukawasaidie wale waliokuwa kule nyumbani acheni itikadi mbovu hizo nisawa na wale wanaoamini mganga ndie atakaebadilisha maisha yake nini sisi tuliokuwapo hapa Tanzania na kuitumikia nchi kwa kuijenga ndio wakufurahiwa na kupongezwa hao watu mnaowataja wanakuja hapa TZ kama ni watalii funguweni vichwa vyenu

Spear sisi wadanganyika ni watu wa ajabu. Hapa ndipo tunapopigiwa bao.
Sikiliza kisa hiki:
watu wa kwetu wakati wa uchaguzi wa ubunge 2005 niliwauliza je huyu mbunge wa chama kinaitwa chama wizi mnamtaka kwa nini awe mbunge wenu? Majibu ya wote yalikuwa ni kuwa huyo mbunge ana pesa sana na ni tajiri wa kutupa, na kwa sababu hiyo wanaona huyo ndiye anafaa.
Sisi ni wavivu wa kufikiri kama alivyowahi kusema BWM.
 
Yah niona inaongea swahili as his first language.........................kaja US akiwa na miaka 11 kutokea bongo.

Kuna mtu anauliza kuwa ikiwa mbongo ndio nini?Ni kwamba inatia moyo kwa wadogo zetu na sisi wenyewe kuwa ukiwa na juhudi unaweza kufanya chochote dunia na kuwa yeyeto bila kujari umetokea wapi.
Watu wengi wanadhani vitu fulani ni kwa watu fulani tu ila mambo kama haya yanatia moyo.

SIDHANI kama first language ni SWAHILI hawa jamaa si mnawajua walivyo wabaguzi???
 
Hongera yake huyo ndg yetu, itoshe tu kuamini ardhi hii si mbaya ktk uzazi na malezi. Tumtakie heri aifanikishe kazi ya waamerika
 
Huyu jamaa alipita tu Tanzania na wazazi wake, hajawahi kuwa wala kuomba/kuombewa uraia wa Tanzania kwa kipindi alichokuwepo bongo! Sasa inakuwa vipi awe classified as "Mwana wa Tanzania". Ina maana basi hata Obama aitwe mwana wa Indonesia (sijui kama Waluo kule Kisumu watakuelewa, kumbuka Kenya walichukua likizo kushangilia ushindi..!!). The fact is that Vivek is either Indian or American period! Nothing like a Tanzania.

It's high time we realize that we can always get nothing by trying to get these cheap relationships with some people just because they're successful in one way or another.

STAND UP AND BE COUNTED ON YOUR OWN MERITS..!! Don't give them chance to make you inferior.....remember they WILL NEVER give you the same chance!
 
Hongera yake huyo ndg yetu, itoshe tu kuamini ardhi hii si mbaya ktk uzazi na malezi. Tumtakie heri aifanikishe kazi ya waamerika

May I remind you that the guy ni mdosi! How can he possibly be ndugu yako?
Mdosi will never be your ndugu; hata kwenye vilio vyao hawata kualika!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom