kakuruvi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2009
- 770
- 256
Mavazi ni kitu cha kwanza kuitambulisha tabia ya mtu unapokutana naye mara ya kwanza, kinyume ya hapo inaweza kuwa sawa pia kwa sababu maalum au kuigiza. Inaelezwa kuwa CBE wameanza kufanyia kazi jinsi ya kuvaa chuoni hapo Je wako sahihi, au waache tu kila mtu na lake? Wadau mna lipi la kusema?
picha kwa hisani ya Michuzi!
picha kwa hisani ya Michuzi!