Vivazi vya manesi, nafuu kwa wagonjwa....

Jana nilienda hospital ya wilaya ya Ludewa duu hadi nikawauliza hizi sare mnashonewa au mnashona wenyewe maana zinawapendeza kwel wakasema wanashona wao wenyewe wengine wakiinama duu hadi unasahau na zam yako ya kumuona daktar.

Dah haha unasahau mlango wa kwa daktari hehehe
 
Jameni waweza kupona kabisa yaani sketi fupii zimebana.

Kuna hosp moja ipo mkoani Kilimanjaro kuna rafiki yangu alipata ajali ya gari bahati mbaya alivunjika mguu nikawa namwangalia 24hrs pembeni yake kuna mzee alikuwa anatumia mpira kujisaidia ikafika mida ya usiku manesi wa kike wanapita kila wodi kuangalia wangojwa kuna manesi walikuja wamevaa nguo fupi sana na yule mzee alikuwa kavaa zile nguo za ma hosp mzee kafunuliwa lile shuka na yule nesi ili ambadilishe mpira kakuta mzee wa watu bwana mkubwa kasimama vilivyo kwanin wasikimbie wote! haya wajaribu kuyaangalia bhana!
 
Kuna hosp moja ipo mkoani Kilimanjaro kuna rafiki yangu alipata ajali ya gari bahati mbaya alivunjika mguu nikawa namwangalia 24hrs pembeni yake kuna mzee alikuwa anatumia mpira kujisaidia ikafika mida ya usiku manesi wa kike wanapita kila wodi kuangalia wangojwa kuna manesi walikuja wamevaa nguo fupi sana na yule mzee alikuwa kavaa zile nguo za ma hosp mzee kafunuliwa lile shuka na yule nesi ili ambadilishe mpira kakuta mzee wa watu bwana mkubwa kasimama vilivyo kwanin wasikimbie wote! haya mavuzi wajaribu kuyaangalia bhana!

mavuzi tena?????!!
uwiiiiiii
 
83019_600x450-cb123334.jpg
 
mkuu ile ni booster kwa wagonjwa, ukiona mgonjwa kalemewa kabisa na wanataka kujua kama atafariki au la, huwa wanaacha wazi na hawa wenzetu siku hizi hawavai pichu, mgonjwa anaona laivu, wataenda kumfunua au kumgusagusa wakiona mgonjwa kasimamisha wanajua huyo bado mzima, wakiona mzee hana hata habari, wanajua hapa hamna mtu.

Hahaha!!!:thumbup:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom