Viungo bandia vya siri vya vyauzwa kama njugu Dar

....alafu bado watu wanabisha eti hakuna EVOLUTION! Siku itafika hatutahitaji wenza wakufanyanao tendo la kujamiiana, ukitaka mtoto unaenda kliniki unawekewa mbegu, kwa mwanamume unatoa mbegu wanakuuzia yai 'vinaunganishwa' unapewa tarehe ya kwenda kuchukua kichanga chako.

Kaka mimi sikupi leseni ya kuuza hivyo viungo. ukae ukilijua kabisa.
 
Sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la wanandoa kupata watoto. Vijana wanajiharibu viungo vyao kwa huu upumbavu na inapofikia kipindi wanahitaji watoto hawazai tena. Tatizo hili kwa kweli kwa sasa linaonekana kuongezeka kwa mara kumi zaidi ya miaka ya 90's kurudi nyuma.
Kulingana na maandiko matakatifu zamani hizi zilitabiriwa kuwa za uovu usio kifani. Hakutakuwa na dawa ya kutibu tabia za walioharibika zaidi ya Mungu kukifuta hiki kizazi na kusimamisha kizazi kipya chenye software isiyo na kumbukumbu yoyote ya tabia za kishetani. Najua kutakuwa na mashambulizi ya wale waliokwisha haribika ni haki yao kushambulia maana hawajui chochote ila kile kilichowajaza. Mungu awahurumie!
.
 
ndio maana mademu siku hizi ukiwa na mashine 8" wanadai huwafikishi eti kibamia, kumbe wamezoea kitu 12" mandingo, ngoja sasa nitafute handsome up wanitambue
 
Kwa kweli Mungu awasamee kwa maana wanajua watendayo ila wanafanya makusudi.
 
ndio maana mademu siku hizi ukiwa na mashine 8" wanadai huwafikishi eti kibamia, kumbe wamezoea kitu 12" mandingo, ngoja sasa nitafute handsome up wanitambue

Kwa sababu wanakuwa wameshajichokonoa hayo mamidoli na kuharibu k zao bila wenyewe kujua.
 
Unaonaje tukaanza kuwa waaminifu ili hayo madude yakose soko?

Hilo ni wazo zuri sana dada yangu na nidhani mimi na wewe ndio tuwe wa kwanza wa kulitekeleza hilo ili dunia nzuma iige mfano wetu. Sasa tatizo litabaki kwa wale ambao wameshaanza kujichikonoa na hayo mamidoli, tuwafanye nini ili waweze kuacha tabia hiyo mbaya?
 
Du 12" si wataua vizazi vyao? Kitu Mandingo

Hayo ndo maajabu ya uumbaji wa Mungu. Watu hawa ni viumbe wa ajbu sana! Laiti Mungu angewaumba watu wenye "mipini" ya urefu huu wangeandamana! Leo waone wanavyojitesa! Waache rafiki yangu wajitindue! hao si wazazi kwa asili yao! THEY ARE AFTER PLEASURE
 
Ulimwengu huu ni mali ya shetani. Makampuni ya magharibi + shetani yanalumban na kutaka kubadili sera kila siku; kwa mfano ndoa za jinsia moja, filamu za ngono, ngono kwa watoto wadogo, ngono na wanyama n.k. Serikali zetu hazina uwezo wa kutetea maadili ya Mungu. Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
 
Ulimwengu huu ni mali ya shetani. Makampuni ya magharibi + shetani yanalumban na kutaka kubadili sera kila siku; kwa mfano ndoa za jinsia moja, filamu za ngono, ngono kwa watoto wadogo, ngono na wanyama n.k. Serikali zetu hazina uwezo wa kutetea maadili ya Mungu. Kisha unasikia, 'natafuta mtoto' miaka.... Sijafanikiwa n.k Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
 
Ulimwengu huu ni mali ya shetani. Makampuni ya magharibi + shetani yanalumban na kutaka kubadili sera kila siku; kwa mfano ndoa za jinsia moja, filamu za ngono, ngono kwa watoto wadogo, ngono na wanyama n.k. Serikali zetu hazina uwezo wa kutetea maadili ya Mungu. Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe

Hawawezi kutetea kwa sababu siasa na dini haviendi pamoja
 
Machukizo kama haya yanapoongezeka ndo maana tunakutwa na majanga mengi kama magonjwa yasiyotibika, njaa, mafuriko n.k. Tukubaliane kwa wale wanaosoma vizuri neno la Mungu, hiki kitu wanachokifanya hawa dada zetu ni chukizo kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu. Tusipende kuiga kila kitu kutoka kwa hao wazungu, wengi wameshaamua kumtumikia shetani ndo maana kwao ushoga, utoaji mimba, kufanya mapenzi na wanyama ni kitu ambacho wanaona ni sahihi kabisa hadi wanalazimisha dunia nzima ifuate mambo hayo ya kishetani.
 
Usemayo ni kweli kabisa mkuu. Sasa tutawasaidiaje hao ambao tayari wamekwishakujiingiza katika mambo hayo machafu ili waweze kubadilika na kuacha mwenendo wao mbaya?
 
Wasome neno la Mungu wataifahamu kweli, na hiyo kweli itawaweka huru.
 
Machukizo kama haya yanapoongezeka ndo maana tunakutwa na majanga mengi kama magonjwa yasiyotibika, njaa, mafuriko n.k. Tukubaliane kwa wale wanaosoma vizuri neno la Mungu, hiki kitu wanachokifanya hawa dada zetu ni chukizo kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu. Tusipende kuiga kila kitu kutoka kwa hao wazungu, wengi wameshaamua kumtumikia shetani ndo maana kwao ushoga, utoaji mimba, kufanya mapenzi na wanyama ni kitu ambacho wanaona ni sahihi kabisa hadi wanalazimisha dunia nzima ifuate mambo hayo ya kishetani.

Hata 'toys' za uke zipo! Ukichoka kutumia mikono na sabuni unanua hiyo kitu. Tujiulize jambo moja, mzee wa SMG aka Malima angekuwa na toy lake la kike hii fedhea aliyoipata ingetoka wapi?
 
Mmh,wakati wengine twataka kitu orijino kumbe wapo wanaotumia na feki,aisee hiyo feki haitagusa kwangu kbs.Wadada tukipendelea feki sasa wakaka watafanya kazi gani,mwee, Mungu atupishie mbali hili balaa.
 
Kwani anapata fedheha gani?
 
Mmh,wakati wengine twataka kitu orijino kumbe wapo wanaotumia na feki,aisee hiyo feki haitagusa kwangu kbs.Wadada tukipendelea feki sasa wakaka watafanya kazi gani,mwee, Mungu atupishie mbali hili balaa.

Dah! Bora wewe umeniunga mkono dada yangu. Tushirikiane katika kupinga uuzaji wa hivi viungo bandia ili hali hii isiendelee.
 
Back
Top Bottom