Vituo vya Redio,TV,Simu nk ku-share minara ya kurushia matangazo

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
Nimependa habari kutoka TCRA kuwa wana mpango wa kuhakikisha vyombo tajwa vinatumia ama mnara mmoja katka baadhi ya maeneo.

hii itapunguza gharama za kuhudumia minara hiyo na utitiri wa minara kwa makazi ya watu

chanzo,habari ya TBC ya saa 2 usiku
 
Mkuu; TCRA inayo mamlaka ya kulisimamia hilo. Wala halikuanza leo au jana ni la siku nyingi.

Changamoto iko katika utekelezaji ndo maana unaona kila operator mpaka leo anaendelea kujenga minara yake.

TCRA: Stand up now. Make it happen by all means na siyo kuleta longo longo tu.
 
Hiyo inapendeza lakini utekelezaji wake mgumu.? Na hii Idea imesemwa sana

Utekelezaji ni issue. Nani atawajibika na management ya hiyo minara. gharama za back up power. security, Insuarence,Locatiion, etc

May be itabidi ianzishwe kampuni kati itayaohusika na na minara na hizi kampuniza simu na vituo vya radio viwe wateja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom