Elections 2010 Vituo vya kupigia kura vinafungwa saa ngapi?

The King

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
357
1
Hivi vituo vya kupigia kura vinatakiwa vifungwe saa ngapi? Nimesikia katika TV channel moja kwamba vinafungwa saa 10.00 jioni. Kwa maoni yangu ni mapema mno na sioni sababu yoyote kwanini visifungwe saa 12.00 jioni.
 
Kama uatakuwa kwa line mida ya sakumi naona utahudumiwa.
Ivi haujui kuwa tukimaliza 6pm tanesco wakikata umeme itakuwaje?
Kheri mwisho iwe sakumi tuu
 
ni saa kumi ndio. Huo ndo utaratibu uliowekwa toka mwanzo na sidhani kuna uwezekano wa kubadili hilo.
Atakayekuwepo kituoni kwa muda huo atapiga kura lakini atakayekuja baada ya hapo ple zake, atakuta njagu kasima nyuma ya mtu wa mwisho.
 
Kama uatakuwa kwa line mida ya sakumi naona utahudumiwa.
Ivi haujui kuwa tukimaliza 6pm tanesco wakikata umeme itakuwaje?
Kheri mwisho iwe sakumi tuu

Mie nimepiga mapema kabisa ila kwa idadi ya wapiga kura 19 millioni na wengine hawajaona majina yao hadi saa hizi pamoja na kuwa walifika mapema kabisa vituoni kwao, kufunga vituo hivyo saa 10.00 jioni naona si sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom